Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

Huyu Sanchez nae toka amehamia Premier wakamdanganya ye ni bora baas, kwisha makali yake. Barça nao wana mkono wao katika kushusha kiwango chake.
 
Kocha wa Chile ana mambo kama Marcelo Bielsa...

Yaani muda wote yeye ni kutembea tembea tu kulia, kushoto...
 
Mascherano almanusura aunguze ramani....

Sanchez anakosa goli...
 
Chile mna kimavi lo!!! Nilianzaje kulia natamani hata kuingia nikazuie mimi.....lol
 
Back
Top Bottom