Non-Shatter
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 597
- 266
Kumbe unanipenda unanionea huruma kwa mbali eeh????
second half mess kama vile hayumo!!!
Hahaha kweli hakaonekani bana, tusubiri wakati kanachukua mchezaji bora wa michuano ndio tutakaona
Sanchez hupati tena hiyo chansi.....dah! !!!
Na MOTM ni yeye hutaki acha....lol
Wamemdhibiti kiuhakika. Hafurukuti kabisa.
Na MOTM ni yeye hutaki acha....lol
Toka siku ya kwanza nia yenu ni kumvunja miguu Lakini mmeshindwa. ......mwili wa chuma Huo!!!
Daaaaaaaaaaaah!!!!!! Nawauliza bado hamumuoni!!!
Siyo yeye Bali #AntiMessi mmeamua Leo....timu hiyo inaongozwa na Papupi....lol
dah, higuain bure kabisa. no wonder napoli kuchechemeaDaaaaaaaaaaaah!!!!!! Nawauliza bado hamumuoni!!!