Non-Shatter
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 597
- 266
Itakua poa sana Chile wakiwa videdea.
Aisee!!! Leo game nimelikosa nipo safarini,endelea kumwaga updates nakufatilia kwa uzuri kabisa.
So far nipo mwenyewe tu hapa leo...
Dk 67
Peru 1 - 0 Paraguay
Oh! Pole sana lakini upo na mimi pia haupo peke yako...Peru naona wameonesha nia zaidi.
Game ipo vizuri aisee...na ime-balance
Dk 82
Peru 1 - 0 Paraguay
Unanipagawisha aisee, naona iko bomba nacheki kiaina online,dakika za lala salama hizo
Dk 88
Peru wanafanya counter attack...
Pasi ya mwisho inayomfikia Guerrero inaishia kambani mwa Paraguay...
Peru 2 - 0 Paraguay
Ebana ni shida!! Si nikajisahau nikashangilia mhh!! Mr kanikata jicho hilo. ......Anaona nafaidi yy yuko bize na sterling.
Hahaha...
Msije mkaishia kuvamia vichaka tu...
Needing much of your prayers maana hii barabara ya Dar Moshi ni shida...
Dk 90 + 1 FT
Game imemalizika...
Peru anamaliza nafasi ya tatu Copa America 2015
Peru 2 - 0 Paraguay
Usijali...
Aisee sijapita hiyo njia muda mrefu mno takribani miaka 14 hivi iliyopita...
Hongera zao Peru wamefanya kazi nzuri sana.....kimbembe leo je mbeleko la Chile litaendelezwa? Argentina wataendeleza ubabe?
Haaaaa!!!! Usiniambie !! Wewe na Mbeya tu.......au?
Game ya kesho sijui itatoa matokeo gani...
Ila naona itakuwa fainali murua sana...
Hahah...
Huko nako hivyo hivyo tu muda kidogo...
Hata nami nategemea kuona moja ya game la nguvu kabisa......ila Chile wanacheza rafu sana wasije wakaliharibu game.
Aiseee!!! Majuu zaidi ?....
Chile wale huwa nawaona si wazuri sana defensively...
Ubora wa Bravo hadi sasa ndio unawaweka mjini...
Tusubiri tuone itavyokuwa...
Hakuna lolote ndugu yangu...
Leo yetu macho na masikio.....