Yaani nilivyooona haupo tu nikajua Leo ni chafu....maana umekuwa kama kakakuona ukipotea siku hiyo Brazil wanapotea.Dah! Nilihisi tu kutatokea mikosi, kila mara nikikosa connection lazima tufungwe, game ya Colombia nayo mikosi ilianza hivi hivi. Hakuna noma lakini, michuano yenyewe haitupendi sana kihistoria. Tuangalie mbele tu. Força Brasil!
Nakusubiri kwa hamu zote....We acha tu, niliona bora nibaki kwa jirani ili ni-focus kwenye game, maana ningekuja kwako attention yote ingekuwa kwako. Jirani nae WiFi yake inaichukia Brasil.
Sasa tumeshatolewa, game zote zilizobaki nitakuja kuangalizia kwako, how about that?
Ni real wangu tena Kali haswaa humu ndani kuna watu wakorofi kama Jara kuwavumilia sometimes ni ngumu mimi ndo maana siku hizi my favorite forum ni sport only huko kwingine ni siku moja moja nikipenda.Hivi kumbe hizi ban ziko real? Dah! na Brazil ndio imetoka, pole sana brother.
Yaani nilivyooona haupo tu nikajua Leo ni chafu....maana umekuwa kama kakakuona ukipotea siku hiyo Brazil wanapotea.
Nakusubiri kwa hamu zote....
Ni real wangu tena Kali haswaa humu ndani kuna watu wakorofi kama Jara kuwavumilia sometimes ni ngumu mimi ndo maana siku hizi my favorite forum ni sport only huko kwingine ni siku moja moja nikipenda.
Yaani nilivyooona haupo tu nikajua Leo ni chafu....maana umekuwa kama kakakuona ukipotea siku hiyo Brazil wanapotea.
Nakusubiri kwa hamu zote....
Ni real wangu tena Kali haswaa humu ndani kuna watu wakorofi kama Jara kuwavumilia sometimes ni ngumu mimi ndo maana siku hizi my favorite forum ni sport only huko kwingine ni siku moja moja nikipenda.
Huwa maumia sana Brazil akifingwa, yaani huyu Brazil anataka nifanya niwe kama shabiki wa Arsenal kila mechi unaaangalia kwa machale...
Jamani si bora muache kucheza mpira. Mlimiumiza Wedi kapu, Mkaniumiza tena jana daaah hata kama mapenzi kwako yamezidi Brazil.
Nakupa onyo la Mwisho
Duh!! Umeongea kama vile husband kwa wife wake.........ndo mahaba hayo mkuu vumilia tu ndoa yako na Brazil itakaa pouwa tu, jana Nyani Ngabu katuambia ni mpito tu unapita...
....brasil tuna tatizo la msingi,seems kama wachezaj hawako serious na mechi
Mimi naamini ni mpito tu huo.
Kabla ya mwaka 1994, Brasil ilishinda kombe la dunia mwaka 1970.
Kwa maana hiyo, mwaka 1974, 1978, 1982, 1986, na 1990 Brasil haikushinda kombe la dunia. Hiyo ni miaka 24.
Mwaka 1994 wakashinda, mwaka 1998 wakafika fainali lakini wakashindwa kwenye fainali, mwaka 2002 wakashinda tena.
Kwa hiyo, kwa mara tatu mfululizo Brasil walifika fainali na wakashinda mara mbili kati ya hizo tatu.
Haya mambo ya mipito ni kawaida sana.
Hata Wajerumani mara ya mwisho kushinda kombe la dunia ilikuwa 1990 na hawakushinda tena mpaka 2014. Miaka 24 hiyo.
Binafsi nimeshindwa chakuongea toka usiku ule baada yakutolewa....brasil tuna tatizo la msingi,seems kama wachezaj hawako serious na mechi,na kingine ni kama mgomo baridi sijui niseme ambao unatoka na baadhi ya wachezaji/mchezaji kukwezwa sana kias ambacho ule uwajibikaji kuwa anachezea timu ya taifa haupo....
Italy wana rekodi kila baada ya miaka 12 kucheza Fainali world cup eg 1970 wakafungwa 4-1 na Brazil kule Mexico City,Mexico,1982 wakamfunga Ujerumani 3-1 kule Spain ktk uwanja wa santiago bernebeu jijini Madrid,1994 wakafungwa kwa penati na Brazil kule USA,na mwaka 2006 wakashinda kwa penati vs France kule Ujerumani,je 2018 wataendeleza rekodi yao kutinga fainali huko Russia?Ni kweli kabisa ulilosema mpito huu si kwa nchi tu hata tukiangalia katika vilabu vikubwa duniani vingi hupitia hali hizi....