Nadhani ni kipindi cha mpito ambacho karibu kila timu hupitia.
Kabla ya mwaka 1994 Brasil haikushinda kombe la dunia kwa miaka 24. Na tokea mwaka 1990 Ujerumani nayo haikushinda kombe la dunia kwa miaka 24.
Hivyo ni kawaida kuwa na kipindi cha mpito.