Hahaha loweka miguu kwenye maji. Line-ups bado hazijatoka bana, mpaka atleast an hour to the game. Hapa jirani leo hanibanii, nimemtilia timu toka brunch.