Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Kwa hali ilivyo Kaseje ataendelea kulisugua benchi la stars, kama enzi za Maximo!!
Viva Mapunda!!!
 
Robo Fainali Match Day Two

Dk 23

Zambia 0 - 0 Burundi
 
Huku kwetu shirika la ugavi Tz kama kawaida wapo kazini endelea kutupatia yanayojiri watu8
 
Dk 45 HT

Zambia 0 - 0 Burundi
 
Dk 56

Zambia 0 - 0 Burundi
 
Dk 78

Zambia 0 - 0 Burundi
 
Dk 93 FT

Zambia 0 - 0 Burundi
 
Mpira upo katika hatua ya matuta...ngoja tusubiri timu gani itaungana na Tanzania Bara pamoja na Kenya kwa ajili ya Nusu Fainali
 
FT AP*

Zambia 4 - 3 Burundi

Zambia anaendelea hatua ya Nusu Fainali na anasubiri mshindi kati ya Sudan na Ethiopia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…