Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Wachezaji wa samuya stars wananyang'anywa mpira ukiwa miguuni mwao halafu wanaanza kuutafuta uko wapi.

Hii timu ya kutakatishia pesa kwa akina Makonda ni heri itoke tu, inatia aibu
 
Utabiri wangu wa 2-1 unaweza kutimia subiri tuone
 
Wachezaji wa samuya stars wananyang'anywa mpira ukiwa miguuni mwao halafu wanaanza kuutafuta uko wapi.

Hii timu ya kutakatishia pesa kwa akina Makonda ni heri itoke tu, inatia aibu
Kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…