Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 409
I realy appriciate you mkuu, thanks for what you did to me...
God bless you...
God bless you...
Nini tena dogo
Nini tena dogo
Kanikumbuka...
Pia nilikukumbuka tangu juzi ila huonekani
Vp shule
Yaani Judgy ameku-did afu unashukuru hadharani?
teh teh teh Upo bro? Real mic you, Vp BAGAH anapatikana mtaa gani??
Mambo Boi...nyokaa niaje...?dizain braza ako kawa tyt leo...ila usiwe na kwi kwi...mambo yako poa...nina bonge na suprize we maliza semista kwanza...
I realy appriciate you mkuu, thanks for what you did to me...
God bless you...
I realy appriciate you mkuu, thanks for what you did to me...
God bless you...
Ok pouwa dogo mi niko home kuna mvua leo.....jtatu nayo bana...huwa siipendi bro...mambo nigani? ila leo wala sijakumis...tuchek kesho kama vip...
oi...nyokaa niaje...?dizain braza ako kawa tyt leo...ila usiwe na kwi kwi...mambo yako poa...nina bonge na suprize we maliza semista kwanza...
sio unajikosha hapa jukwaani alafu mlipokuwa wawili hukummwagia mashukrani kama hivi...ohoo!...
Nilimwaga zote mkuu, i do appriciate that man...