Special thank's to Mr.Judgement...

teh teh teh Upo bro? Real mic you, Vp BAGAH anapatikana mtaa gani??

oi...nyokaa niaje...?dizain braza ako kawa tyt leo...ila usiwe na kwi kwi...mambo yako poa...nina bonge na suprize we maliza semista kwanza...
 
Nipo...
BAGAH yupo ila hatuonani sana...
Siku hz naona mambo yanatubana sana

jtatu nayo bana...huwa siipendi bro...mambo nigani? ila leo wala sijakumis...tuchek kesho kama vip...
 
Last edited by a moderator:
I realy appriciate you mkuu, thanks for what you did to me...
God bless you...

Thanks too, Mtaly nilistuka baada ya kuona bandiko ! Ok take it cmpo.
Mi najua kwa sasa naitwa Baba , kupata Ugoro haisumbui !
Nikifikia kuitwa Babu ugoro kuupata itasumbua !
Wakati huo na wewe utakua Baba !
Wewe ukijaitwa Baba,
Mie Babu sitosumbuka na Ugoro .
Piga kitabu mdogo wangu.
 
oi...nyokaa niaje...?dizain braza ako kawa tyt leo...ila usiwe na kwi kwi...mambo yako poa...nina bonge na suprize we maliza semista kwanza...

duuh ngoja niwe na subra, mpaka mwezi wa 7...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom