Special :Questions And Answers (Q and A)

kwanini mtoto ndabile miezi 7 akizaliwa anaishi ila miezi nane anakufa?
kwanini ukinywa sumu unakunywa maziwa?
hivi sisimizi wangapi wanaweza kubeba laptop yenye kilo2?
 
Kwanini mafuta tunaambiwa yote yanachimbwa chini ila yana rangi tofauti tofauti na harufu kadhalika na matumizi tofauti {mfano mafuta ya taa petroli dizeli lami nk}
 
Mkuu mbona mimi ndo mara yangu ya kwanza Ku join JF nilijiunga 26 July 2020 na sijawahi kubadilisha ID ni vile tu mi mtundu Ila sijakuwa sana bado sina muda mrefu JF ndo maana unaona threads zangu zingine ni so funny.
Hata ukiwauliza wana JF watakwambia I'm new na sijabadilisha ID I'm just being active and happy to use the platform
Ooh It's Okay.
 
Jamani tunaomba anayejua majibu ya maswali yanayoulizwa atujibu
Thread ipo kwa ajili hio
 
Back
Top Bottom