Special political message from mchiriku-Chiriku kalonga na kuyumbayumba

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Nyuma ya mziki wa Singeli au mchiriku tunaitafuta na kuipata meseji kubwa sana ya kisiasa mwaka huu.
Yaani yupo chiriku aliyelishwa maneno na kuanza kuyaongea (kulonga) huku akijitikisa (kuyumbayumba)
Chiriku asihukumiwe bali anayeishi na chiriku atajulikana au ameshajulikana.
Kazi na utu....Tusonge mbele watanzania!
Mama mitano tena !

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Tenda wema nenda zako usingoje shukrani
 
Unaowatendea wema wengine ni manyani....
 
Mbagala rangi tatu binadamu sio watu...
 
Mbagala Zakeim watakutia wazimu...!!
 
Mbagala Kui (siku hizi wanaita kuu)wanageukaga chui
 
Watoto wa mbagala kwa nini mpo hivyo?
 
Hata kwetu wapo...chiriku wapo tu..
 
Hii ni political philosophical message....Twende kazi Great thinkers!!
 
Usimchukie wala kumuadhibu chiriku ...chiriku analonga alichokisikia
 
Nyuma ya mziki wa Singeli au mchiriku tunaitafuta na kuipata meseji kubwa sana ya kisiasa mwaka huu.
Yaani yupo chiriku aliyelishwa maneno na kuanza kuyaongea (kulonga) huku akijitikisa (kuyumbayumba)
Chiriku asihukumiwe bali anayeishi na chiriku atajulikana au ameshajulikana.
Kazi na utu....Tusonge mbele watanzania!
Mama mitano tena !

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
View attachment 3427572
Mkuu Funa, funaku
Thanks for this
cc Pascal Mayalla jifunze kitu kutoka nyimbo zetu hizi
Hii ndio mara yangu ya kwanza
Kusikiliza mchiriku kwasababu tuu ya tag yako!, it's just not my type! Hivyo kusikiliza kitu ambacho sio your type for more than 10 min, is not a joke!.

Ila mimi ni musical lover na kuna nyimbo zikinigusa naposti humu mifano ni hii
- Chungwa nikalimega nikidhani chenza....(Fumbo..Fumbua)
P
 
Mkuu Funa, funaku
Thanks for this
Hii ndio mara yangu ya kwanza
Kusikiliza mchiriku kwasababu tuu ya tag yako!, it's just not my type! Hivyo kusikiliza kitu ambacho sio your type for more than 10 min, is not a joke!.

Ila mimi ni musical lover na kuna nyimbo zikinigusa naposti humu mifano ni hii

P
Kuna ndugu yako anaitwa pascal mayala anakuja jukwaani muda so mrefu
 
Mkuu Funa, funaku
Thanks for this
Hii ndio mara yangu ya kwanza
Kusikiliza mchiriku kwasababu tuu ya tag yako!, it's just not my type! Hivyo kusikiliza kitu ambacho sio your type for more than 10 min, is not a joke!.

Ila mimi ni musical lover na kuna nyimbo zikinigusa naposti humu mifano ni hii
- Chungwa nikalimega nikidhani chenza....(Fumbo..Fumbua)
P
2192C47C-C140-406E-9CC2-FCFE320F2CFB.jpeg
 
Back
Top Bottom