Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
Heruaa heruaa herua
Jamani kumekua na thread nyingi za kutafuta waume,wake,wapenzi
Na kadhalika
Ingekua poa sana kama mkitujulisha hao watu mnaowatafuta kama mmewapataa heeeeeeeee inahuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ni kama ambavyo mkija jukwaa hili kuweka wazi kua mnatafuta wachumbaziiii ni uwazi tuu jamani au siooo