Special kwa Wasaka Ajira na Walioajiriwa

Chief Lugina

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
286
0
Ni kitu kizuri but sijaipenda in case of Design.....yaani kila kitu copy cha JF sasa si bora niendelee ku browse hapa hapa. kwanini usidownload hata jobScript au ku customize hiyo Forum yako ikae ki kazi kazi mzee. Hii inanikumbusha ma Developer wa Joomla, yaani ukiifungua tu Site zao unajua hii ni Joomala. By the way mimi sina ajira nitakuwa ninapitapita huko..
 
Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,957
2,000
tatizo la watu kama wewe Chief Lugina na wengine kama wewe, mnaangalia muonekano zaidi ya functionality, hamjiulizi swali kama, je hii tovuti inafikisha lengo lake kusudiwa? mambo ya muonekano ni baadae, kwani google search ina uzuri gani zaidi ya search bar? lakini ndio website inayofunguliwa kuliko zote duniani, kwa nini? kazi yake ndo inayoifanya ifunguliwe mara nyingi, jf job search ni sehemu tu ndogo ya jf ila hii site ya ajira.org imekuwa dedicated kwa maswala ya job, sasa kabla hujafikiria kuandika comment ya kuponda jiulize basi kidogo

hajatumia mybb, katumia vB
 
Last edited by a moderator:

NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,464
2,000
Site bado sana, tatizo sio tu muonekano ila bado inasumbua sana kufungua katika mobile platforms, iOS nimeweza kufungua vzr tu ila katika Android imezingua na still katika Operamini haioneshi chochote zaidi ya Navigation bar..
Anaesema muonekano si important anajidanganya, na Google ina muonekano na mpangilio mzuri tu we kaka hapo juu futa kauli yako, sasa utalinganisha google na hii katika grafix?? muonekano una attract watu kuona site yako otherwise utapata viewers wachache....
 
Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,957
2,000
Dreson4 leo siko na mood ya ligi, ila ntakujibu kesho hiyo comment yako, au vipi kaka
 
Last edited by a moderator:

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,487
2,000
tatizo la watu kama wewe Chief Lugina na wengine kama wewe, mnaangalia muonekano zaidi ya functionality, hamjiulizi swali kama, je hii tovuti inafikisha lengo lake kusudiwa? mambo ya muonekano ni baadae, kwani google search ina uzuri gani zaidi ya search bar? lakini ndio website inayofunguliwa kuliko zote duniani, kwa nini? kazi yake ndo inayoifanya ifunguliwe mara nyingi, jf job search ni sehemu tu ndogo ya jf ila hii site ya ajira.org imekuwa dedicated kwa maswala ya job, sasa kabla hujafikiria kuandika comment ya kuponda jiulize basi kidogo

hajatumia mybb, katumia vB

Ndo ninapokukubaligi hapo,call a spade a spade
 
Last edited by a moderator:

Firefox

Senior Member
May 10, 2011
127
225
Mkuu C6 Thanks sana kwa ufafanuzi uliotoa, nadhani wadau wengine its either wanashindwa kujua kwamba hii site ni mpya, so ipo kwenye hatua ya mwanzo, na kwa sasa aim kubwa ni iwe na mwonekano mzuri kwenye PC, then kwenye all mobile devices ni hatua inayofuata.
Dreson4 naona upo kiligi ligi mkuu, na umeongea utadhani ni ugomvi... labda utuambie ni nini kilichokukera hapa otherwise you are just a hater.
 
BinMgen

JF-Expert Member
Jun 18, 2008
1,851
1,250
Site bado sana, tatizo sio tu muonekano ila bado inasumbua sana kufungua katika mobile platforms, iOS nimeweza kufungua vzr tu ila katika Android imezingua na still katika Operamini haioneshi chochote zaidi ya Navigation bar..
Anaesema muonekano si important anajidanganya, na Google ina muonekano na mpangilio mzuri tu we kaka hapo juu futa kauli yako, sasa utalinganisha google na hii katika grafix?? muonekano una attract watu kuona site yako otherwise utapata viewers wachache....

Iko poa tu! Mbona tumeingia na hiyo android with opera na kila kitu kiko poa !:thumbup:

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Gurta

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
2,237
2,000
Dreson4 inafunguka poa u kwenye Android (Opera mini na mobile).

Firefox hongera kazi nzuri, ila sioni kwanini "Tourism" ikae na "sociology" kwenye kundi moja, samahani kwamba pia sina hakika inapaswa iingie wapi.
 
Last edited by a moderator:

Firefox

Senior Member
May 10, 2011
127
225
Dreson4 inafunguka poa u kwenye Android (Opera mini na mobile).

Firefox hongera kazi nzuri, ila sioni kwanini "Tourism" ikae na "sociology" kwenye kundi moja, samahani kwamba pia sina hakika inapaswa iingie wapi.

Thanks mkuu, kuna baadhi ya forum nimeziweka pamoja kwa sababu site bado haijawa popular na post nyngi, ila pindi itakapokuwa popular, posts nyngi na traffic ya kutosha, kila category itakuwa na board yake. Thanks kwa kuliona hilo.
 
leh

JF-Expert Member
May 30, 2012
824
500
kwa wanao mwambia Firefox kwamba kaiga JF clearly hawajui vbulleting. tena kwa taarifa lenu, some of the biggest forums huitumia, kacheki http://www.ipmart-forum.com/forum, Android Forums & Windows Phone Discussion @ xda-developers, CyanogenMod Forum among others. ukitumia vbulleting lazima forum yako itafuanania one way or another na zingine, ila inaonyesha professionalism as its one of the highest paid for scripts na ina design nzuri for easier navigation. mpeni credit where it is due, sawa Dreson4?
 
Last edited by a moderator:

wanatamani

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
416
250
Goood, well done, nimefanya utafiti usio rasmi , nimegundua mtu akitokea na kusema amefanya hiki, watu wengi wamekuwa wakipinga, na kuona ameiga jf, mtu akiibuka na kusema kafanya hiki watu bora uendelee na jf, kwani jf ndio walioidhinishwa kuendesha mambo haya tu, acheni ulimbukeni , ingekuwa hivyo twiter, facebook, badoo, chat -avenue na wengine wange waacha walio tangulia . Inatakiwa kupongeza na kubadilishana ujizi kwenye vitu hivi sio kuponda tu. Big up kijana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom