Special kwa wanaotafuta ajira: Ni kweli kwa sasa ajira zimekuwa ni kizungumkuti lakini kazi za 'marketing' zipo kila kona nchini

Capitrait

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
228
326
Wakuu,

Tuseme ukweli. Kwa sasa ajira zimekuwa ngumu sana kupatikana. Mbaya zaidi hakuna mpango kazi ulio bayana kwenye mamlaka za nchi maalum kwa ajili ya kutatua tatizo hili.

Ila pamoja na hali hii Dunia huwa ipo fair sana ukitazama kwa jicho la tatu. Kwamba, pale unapohisi milango yote ya kutokea imefungwa, lkn ukweli ni kuwa Dunia sio katili hivyo, lazima kuna mlango mmoja upo wazi kabisa kuupita, ingawa kunahitajika nguvu ya ziada kuubaini, mbaya zaidi ni kwamba panahitajika nguvu ya ziada zaidi kupita kwenye huo mlango ulio wazi, na hapa ndipo wengi hukwama na kukwama kabisa, na kudhani wamekwisha kabisa hapa Duniani.

Mfano, Kwa nyakati hizi ajira ni ishu kweli kweli, tena ishu haswa, lakini kuna mlango mmoja ambao upo wazi saa 24 kwa kila siku tayari kupokea na kumpitisha yeyote yule aliye tayari kupita. 'Marketing'.

Nyakati ngumu za ajira kama ilivyo kwa sasa watu wengi huibuka na mawazo mbali mbali ambazo huziundia projects. Sasa kutokana na uhalisia kuwa wengi hawana mitaji ya kutosha na hivyo hivyo wateja wachache ama hawapo kabisa kutokana na nguvu ndogo kipesa ya kufanya marketing.

Sasa, watu hawa wanachofanya ni kuhitaji marketing crew itakayokuwa na kazi moja tu ya kufanya marketing kwa ajili ya kutambulisha project kwenye Jamii.

Mara nyingi crew hii inayohitajika huwa na a very minimum requirement hasa kwa upande wa elimu na experience. Hata waliomaliza darasa la 7 wana fit kabisa. Huu ndio mlango ulio wazi kwenye Dunia ngumu ya ajira.

Ajabu ni kwamba, wengi wa watu wasio na ajira hawataki masuala haya ya marketing kutokana na ukweli kuwa unalipwa kutokana na return ya kazi yako. Yaani leta mteja ndo upate ujira wako. Wengi wasio na ajira hawapendi hiki kitu. Na wasichokijua ni kwamba huyo mwenye project hana hela ya kuwalipa kama mshahara, wala hana hela ya kufanya marketing kwenye media mbali mbali. Ndio maana akatumia option hiyo ya kuunda marketing crew kwa ajili ya kufanikisha project yake.

Nachosema ni kwamba tukubali kuutabika katika kupigania ndoto zenu kupitia marketing maana ndio mlango pekee ulio wazi. Fanyia marketing ideas za jamaa wengine, projects za watu wengine Dunia haitakusahau. Vinginevyo.......

Nawakumbusha tu kuwa kila mwaka watu wasio na ajira wanazidi kumiminika toka vyuo mbali mbali. Watu wanaojiajiri wanazidi kuongezeka kila siku.

Jiulize wewe utakuwa wapi miaka kadhaa ijayo kama hali itaendelea kuwa hivi hivi ilivyo?????

Namalizia kwa kusema: Wakuu, tujitahidi kujishikiza kwenye ishus za marketing tusione aibu wala kujistukia. Tu push projects za wengine na kupitia projects hizo na sisi tutaboa haya maisha.

Kutoka:
Damage Control Room.
 
Mkuu ulicho ongea nikweli binafsi mimi ni mjasiriamali niko Dar nna kampuni yangu inayo jihusisha na usafi, changamoto ya marketing officers ipo Kama unavo ongea,nilikuwa na shida na watu wa marketing changamoto iliyopo ni kuwa watu ukiwaambia malipo ni kwa kamisheni basi kuna kuwa hamna mtaka kazi hapo mtu ana hitaji alipwe mshahara sasa kwa sisi wenye kampuni ndogo inakuwa ni changamoto kulipa mishahara maana hatuna clients wa kutosha kuweka bajeti ya mishahara,kuna kipindi nilihitaji marketing development officer nafasi 1 malipo ni kwa kamisheni pia nilikuwa sina mshahara Kama kila mmoja aliye apply alitegemea kwahyo ikawa kikwazo kupata mtu wa kufanya nae kazi mpaka hii leo.
Maana hapo target ilikuwa mtu akuze brand na mapato ya kampuni na matazamio ni ndani ya miezi 6 baada ya hapo tunaweza kukaa chini na kuangalia ikiwa tunaweza kuweka mshahara na kamisheni kwakuwa tayari kuna kazi iliyo fanyika
Naomba niongee tu kwa mtu aliye tayari kufanya kazi na kampuni yetu katika hiyo position ya marketing anitafute kwa namba hii 0748062691 tuongee, malipo ni kwa kamisheni.
Kiukweli ndugu zangu katika maisha tuna tegemeana na hilo ni muhimu ili kufikia mafanikio ya kila mmoja wetu.
Maana mimi nna Idea nzuri kulingana na kazi nnazo fanya ni huduma ambazo zinahitajika sana hasa katika Hotels, Lodges, Hospital,Viwandani na maeneo mengine ya public maana si kwamba nafanya tu usafi wa kawaida lakini pia nafanya zaidi ya hapo maana uchafu sugu ulio shindikana kwangu nna solution mfano masink na Tiles zilizo kuwa na uchafu sugu ama kufubaa nang'arisha na kurudisha mng'ao kama mwanzo kwa kutumia dawa zangu nnazo tengeneza mwenyewe.
Kwahyo ukianagalia mfano kama hizo huduma zina hitajika sana na watu wengi hawajui solution mimi nnayo namna ya kuwafikia nnahitaji watu.
 
Mkuu ulicho ongea nikweli binafsi mimi ni mjasiriamali niko Dar nna kampuni yangu inayo jihusisha na usafi, changamoto ya marketing officers ipo Kama unavo ongea binafsi nilikuwa na shida na watu wa marketing changamoto iliyopo ni kuwa watu ukiwaambia malipo ni kwa kamisheni basi kuna kuwa hamna mtaka kazi hapo mtu ana hitaji alipwe mshahara sasa kwa sisi wenye kampuni ndogo inakuwa ni changamoto kulipa mishahara,kuna kipindi nilihitaji marketing develop offer nafasi ya kujitolea japo malipo ni kwa kamisheni pia nilikuwa sina mshahara Kama kila mmoja aliye apply alitegemea kwahyo ikawa kikwazo kupata mtu wa kufanya nae kazi mpaka hii leo.
Naomba niongee tu kwa mtu aliye tayari kufanya kazi na kampuni yetu katika hiyo position ya marketing anitafute kwa namba hii 0748062691 malipo ni kwa kamisheni.
Changamoto sana. Cha ajabu watu wapo radhi kupiga stori kukaa kijiweni kupiga stori za Kaizer Chiefs vs Simba ama Yanga vs Simba ama urais wa Mama yetu Samia huku muda unayoyoma kama upepo mbugani
 
Wakuu,

Tuseme ukweli. Kwa sasa ajira zimekuwa ngumu sana kupatikana. Mbaya zaidi hakuna mpango kazi ulio bayana kwenye mamlaka za nchi maalum kwa ajili ya kutatua tatizo hili.

Ila pamoja na hali hii Dunia huwa ipo fair sana ukitazama kwa jicho la tatu. Kwamba, pale unapohisi milango yote ya kutokea imefungwa, lkn ukweli ni kuwa Dunia sio katili hivyo, lazima kuna mlango mmoja upo wazi kabisa kuupita, ingawa kunahitajika nguvu ya ziada kuubaini, mbaya zaidi ni kwamba panahitajika nguvu ya ziada zaidi kupita kwenye huo mlango ulio wazi, na hapa ndipo wengi hukwama na kukwama kabisa, na kudhani wamekwisha kabisa hapa Duniani.

Mfano, Kwa nyakati hizi ajira ni ishu kweli kweli, tena ishu haswa, lakini kuna mlango mmoja ambao upo wazi saa 24 kwa kila siku tayari kupokea na kumpitisha yeyote yule aliye tayari kupita. 'Marketing'.

Nyakati ngumu za ajira kama ilivyo kwa sasa watu wengi huibuka na mawazo mbali mbali ambazo huziundia projects. Sasa kutokana na uhalisia kuwa wengi hawana mitaji ya kutosha na hivyo hivyo wateja wachache ama hawapo kabisa kutokana na nguvu ndogo kipesa ya kufanya marketing.

Sasa, watu hawa wanachofanya ni kuhitaji marketing crew itakayokuwa na kazi moja tu ya kufanya marketing kwa ajili ya kutambulisha project kwenye Jamii.

Mara nyingi crew hii inayohitajika huwa na a very minimum requirement hasa kwa upande wa elimu na experience. Hata waliomaliza darasa la 7 wana fit kabisa. Huu ndio mlango ulio wazi kwenye Dunia ngumu ya ajira.

Ajabu ni kwamba, wengi wa watu wasio na ajira hawataki masuala haya ya marketing kutokana na ukweli kuwa unalipwa kutokana na return ya kazi yako. Yaani leta mteja ndo upate ujira wako. Wengi wasio na ajira hawapendi hiki kitu. Na wasichokijua ni kwamba huyo mwenye project hana hela ya kuwalipa kama mshahara, wala hana hela ya kufanya marketing kwenye media mbali mbali. Ndio maana akatumia option hiyo ya kuunda marketing crew kwa ajili ya kufanikisha project yake.

Nachosema ni kwamba tukubali kuutabika katika kupigania ndoto zenu kupitia marketing maana ndio mlango pekee ulio wazi. Fanyia marketing ideas za jamaa wengine, projects za watu wengine Dunia haitakusahau. Vinginevyo.......

Nawakumbusha tu kuwa kila mwaka watu wasio na ajira wanazidi kumiminika toka vyuo mbali mbali. Watu wanaojiajiri wanazidi kuongezeka kila siku.

Jiulize wewe utakuwa wapi miaka kadhaa ijayo kama hali itaendelea kuwa hivi hivi ilivyo?????

Namalizia kwa kusema: Wakuu, tujitahidi kujishikiza kwenye ishus za marketing tusione aibu wala kujistukia. Tu push projects za wengine na kupitia projects hizo na sisi tutaboa haya maisha.

Kutoka:
Damage Control Room.
Marketing wameshapewa contract kilichobakia mtaani ni promotion tu mkuu.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Nilisomea fani ya water resources engineering chuo cha maji na nikafanikiwa kupata ftc certificate in water supply engineering je kunasekta ya maji yoyote inahitaji TEchnician
 
Wakuu,

Tuseme ukweli. Kwa sasa ajira zimekuwa ngumu sana kupatikana. Mbaya zaidi hakuna mpango kazi ulio bayana kwenye mamlaka za nchi maalum kwa ajili ya kutatua tatizo hili....
Ndugu umeongea vizurii ila hizo kazi za marketing ingeziweka bayana tuzione , yaan utaje moja baada ya nyingne na si lazma utaje zote
 
Back
Top Bottom