SamTu160
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 624
- 568
Wakuu, Habari zenu.
Nipo hapa Tanga, dhumuni ni utalii wa ndani na kupunguza stress za jiji La makonda..
Sina wanyeji, kwa mdau aliye free regardless of age, sex, and political affiliation Ani join. Tujadili politics , musics, economy hasa kilimo cha biashara etc.
Venue Tanga Pazuri kwa sasa, location zngne pia zinaruhusiwa.