Special kwa Umukagame tu

Hahahahaaaa.... Masai dada si umezaliwa juzi!!!??? Ushajua kuongea?? Hongera sana.
Nimependa huo msamiati mpya hapo juu. Wataalamu wa lugha waufikirie kwa kweli

hahahahhahaha

wataalamu wa lugha wa jf

maana dushe,papuchi vimeshaingia katika matumizi rasm
 
Umukagame hana hamu,atakuwa kachoka kweli huko coz anapewa tu tangu siku masai dada anakuja duniani et alitaka azae toto sambamba na masai dada ili aheshimiwe na masai dada kama mama.
 
Jamani si mmeshaambiwa nyie sio type yake mbona mnamtafuta maneno mtoto wa watu
 
SIMTETEI: huyu Umu ni bado yuko kwenye stage ya ukuaji jaman, hakuna ambaye hajapitia huko na isitoshe kila mtu na inavyomchukua.....
Bahati mbaya yeye kaangukia kwenye secto hiyo. Na sijajua upande wa malezi pia yamekuwaje/yanakuwaje < kwa alivyo bwana mdogo hata kama mzazi ni mkali kama nini naamini mzazi nae kanyoosha mikono, na pia kama ni malezi ya mtoto mtoto kunahati ya mzazi kumpoteza mtoto kabisaaa
Pia malezi ya kufungia watoto ndani masaa yoote nayo yanaleta hii mambo.
Umu mwanachuo kitendo cha kutoka nyumban kuwa mtaani ndo anaiona dunia na kuwafaham uzuri ndugu zetu nyie(wanaume)

Lakini huyu bado mtoto kabisa...23yrs badooo.Ila naamini atakuja badilika.

Pia tujaribu kuelewa kwamba network zake hazikamati vizuri na tumchukulie kama alivyo maana wengi wanamwongelea kama kahaba,wengine jamvi la wageni na maneno meeengi.....

Tumsamehe huyu dogo na tujaribu kumwelekeshaa naamini Jf tupo kwa kueleweshana,kufundishana,kukosoana.

Ni hayo tu.
 
hahahaha.... Payer umetisha sana....Mama huruma wa JF akitumaliza sisi members naomba asihamie kwa Mods maana JF itakua imefikia tamati
 
Last edited by a moderator:
hahahaha.... Payer umetisha sana....Mama huruma wa JF akitumaliza sisi members naomba asihamie kwa Mods maana JF itakua imefikia tamati

Hahahaaaaa.... mods wana kitengo cha maadili kinachozingatia kila nukta ya misahafu yake. Sidhani km anaweza mpata hata mmoja wao.
 
Last edited by a moderator:
umukagame nadhani umeshika nafasi ya kwanza kwenye ukahaba humu jukwaani, kila siku na vistori vyake vya ajabu ajabu sasa jana ndio kauwa kabisaa eti anataka kumaliza ukoo wa x boyfriend wake sijui na mama wa wa huyu x ataenda kusagana nae, ila nadhani ni ugni tu wa mitandao ya kijamii sio bure ngoja agegedwe na kikundi cha watu papuchi ipate sugu atakuja na swaga murua kabisaa wakati huo
 
Last edited by a moderator:
hana lolote.yeye ni mtunzi tu na m.a.laya kama walivyo wengine.halafu ana kisura kibaya kama kitoto cha nyani.humu anajionyesha kama mrembo.uongo mtupu tuulize tulioomba na kufanikiwa kuonana naye


Amekufanya nini mtoto wa watu umukagame?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…