Special kwa ma first born wote.

Ufirstborn kwangu ni zigo la misumari nimeanza kusimamia malezi ya wadogo zangu katika umri mdogo kutatua changamoto zilizopaswa kutatuliwa na wazazi,,,,,, wao wenyewe shukrani ni zero.
 
Lastborn wengi vichwa maji,Kama ni wa kike atazaa hovyohovyo na wanaume tofauti tofauti,Kama ni wa kiume ni bangi tu kwa kwenda mbele
FB HOYEEEEEE
 
First born wengi wajanja sana, ila anayefuatia lazima awe chenga kidogo, fuatilia familia nyingi, firstborn wanajielewa sana lakini wa pili wanakuwa wajinga wajinga sana.
Tutake radhi Mkuu, Kwetu sie first born wengi ndo maboya kweli kweli wajanja huwa 2nd born
 
Shida yetu sisi ma firstborn ni tunakuwa wazazi wa ziada
 
Daah!! Kiranga natamani nikuone kama kuisha kwa dunia hii
 
Ufirstborn kwangu ni zigo la misumari nimeanza kusimamia malezi ya wadogo zangu katika umri mdogo kutatua changamoto zilizopaswa kutatuliwa na wazazi,,,,,, wao wenyewe shukrani ni zero.
True.. Mi mwenyewe full kuachiwa maelekezo na wazazi kuyatekeleza kwa madogo.
 
Kuwa first born si rahisi kama unavyofikiria,una majukumu makubwa yaliyombele yako.Kwanza unatakiwa uwe Na tabia njema ili uwe mfano mzuri kwa wadogo zako,ndiyo maana wazazi hutumia nguvu kubwa kumfundisha kazi na maadili mema mtoto wa kwanza kuliko wanafuata.Pili wewe ndo unategemewa kuwatunza wazazi pale wanapozeeka. Na ikitokea wazazi wakaondoka duniani,wewe ndo utavaa viatu vya wazazi wako.Tunawapenda first born wetu na imani yetu kwenu ni kubwa.
 
Kweli first borns Ni baraka kutoka kwa Mungu...... I love you my sister najua unajua id yangu so siku ukiingia huku ukisoma utajijua nakusema wewe..... Yaan Yuko tayar akose Mimi mdogo wake nipate (nna mahali pakudekea jamaniii) alishanipa robo tatu ya mshahara wake kutatua tatizo langu.... My sister Mungu akuweke akupe hitaji la moyo wako... Nikitoa wazazi you come first kwakweli ingawa Kuna muda nakukwazaga nisamehe tuu unichukulie ivyo ivyo
 
Thanks kwa kutambua mchango wetu ma firstborn..πŸ˜ŠπŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…