BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,111
- 14,079
- Thread starter
-
- #21
Ukiona hivyo ujue Mzazi ana mtoto mkubwa nje ya ndoa..First born wengi ni mizigo sana,niwachache mnaojitambua kwasababu tangu kuzaliwa mnalelewa kimayai mayai sana na mnapewa mahitaji yote
Hapana nina mifano hai zaidi ya mitano + one from my familyUkiona hivyo ujue Mzazi ana mtoto mkubwa nje ya ndoa..
Firstborn wanaongoza kwa kuwapa michongo wadogo zao. Sama midogo yenyewe chenga.First born wengi wajanja sana, ila anayefuatia lazima awe chenga kidogo, fuatilia familia nyingi, firstborn wanajielewa sana lakini wa pili wanakuwa wajinga wajinga sana.
Na ukiona hivyo tena Mzazi wa kike alitoaga mimba nyingi enzi za ujana wake.Hapana nina mifano hai zaidi ya mitano + one from my family
Katikati.Na sisi tuliozaliwa katikati tunakomenti wapi
Huo utafiti umeufanya wapi?Na ukiona hivyo tena Mzazi wa kike alitoaga mimba nyingi enzi za ujana wake.
Una blessings za kutosha man.Na mm ni mmoja wapo wa Firstborn
Nakubaliana na wewe. Nmetoa michongo kwa madogo toka wanasoma. Tuition gani nzuri, wasome vp wabehave na hata kazi pia nawaunganisha. Sema daaah madogo wenyeweeee chenga tupu!Fi
Firstborn wanaongoza kwa kuwapa michongo wadogo zao. Sama midogo yenyewe chenga.
Kwani ww sio mtoto wa kwanza? Kuhusu utafiti kuna vitu vinakuwaga vipo tu havitaji utafiti.Huo utafiti umeufanya wapi?
KwaheriKwani ww sio mtoto wa kwanza? Kuhusu utafiti kuna vitu vinakuwaga vipo tu havitaji utafiti.
Wasalimie.Kwaheri
Hakika!First born ni makamu wa wazazi
CCM sio first born ndo maana ana matatizo mengi. Brother wake TANU alikuwa fresh. R.I.P brother TANU.First born wengi waliozaliwa mwaka mmoja na CCM!.. wengi wao chenga..
Middlemen mnakuwa na maujanja kiasi ila tatizo hamtaki kushow respect.Middleborn tuna comment wapi ?
CCM sio first born ndo maana ana matatizo mengi. Brother wake TANU alikuwa fresh. R.I.P brother TANU.
Inategemea ntu na ntu mkuuMiddlemen mnakuwa na maujanja kiasi ila tatizo hamtaki kushow respect.