Special kwa ambao mmewahi kupendwa na wadada

Special kwa ambao mmewahi kupendwa na wadada

Kuna manzi alikuwa ananipenda san Full ma zawadi kila siku anakuja Job kunicheki alikuwa hanipigii simu anakuja bila taarifa .nikafanya mipango ya kumla bila tongozo daah niliambulia matusi .hadi leo Hajawai nitafuta tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna manzi alikuwa ananipenda san Full ma zawadi kila siku anakuja Job kunicheki alikuwa hanipigii simu anakuja bila taarifa .nikafanya mipango ya kumla bila tongozo daah niliambulia matusi .hadi leo Hajawai nitafuta tena.
Kijana una gundu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mmoja alikuwa tukikutana katika meetups za kishkaji anafurahi kweli na anajisogeza sogeza nilipo.

Basi siku moja kama utani nikamuambia nataka nikutongoze. Akaniambia nitongoze sasa. Nikamuambia nataka nikupe madini uso kwa uso nikampanga tuonane kesho yake.

Tumeonana tukapiga stori akachekacheka pale later akasema mbona hunitongozi nikamuambia usihofu lets take a walk. Mimi nina mtindo wa kuweka 1st dates karibu na home so tunatembea hivi nikampitisha njia ya home alafu nikamuambia home pale ka vipi njoo ukapaone kabisa.

Tukaingia home pale nikaendelea kumtania tania na kumshikashika. We made out kidogo ila alichomoa sex. But ndio akawa demu wangu hivyo sijatongoza wala kumuambia nampenda. A couple weeks later we did the deed na mengine yakaendelea.
 
Wanawake ni watu ambao huwa hawaeleweki hata wao tu hawajijui kuwa wanapenda nini

Mara nyingi huwa wanafanya hv kama kukupa adhabu,maana anakuona kama ulikuwa umezubaa sana,yaan mpaka amekuchokoza ndo ukaamua mtongoza,
kwahyo huwa wanaleta usumbufu ili kukupima kama umempenda kweli au unamtongoza kwa vile kajileta.
Na atasumbua kukubalia kwa muda mrefu sana,sasa ikitokea ukasitisha kumtongoza baada ya kukutana na usumbufu wake atakuchukia balaa na ataanza kukusema vibaya kwa wenzie
 
[emoji828]Lazima atatafuta namba zako za mawasiliano
[emoji828]Atakuwa karibu na wewe kila mara akuonapo
[emoji828]Enzi zetu tuliletewa hadi maua. Kwahiyo vizawadi vya hapa na pale haviiishi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namba za simu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom