batmanwafez
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 882
- 1,343
Eti queen Cersei nae ana mimba...dah kwakweli ng'ombe hazeeki mainiMwisho wa cersi umekaribia, nahisi arya stark atamuua cersi na mauchawi yake yale yakujibadirisha sura
Ofcz n bonge la series sema inahtaj uvumilivu cz characters wanajengwa taratbuHivi ni nzuri hii season maana nimeipakua tuu natafuta muda nzuri nianze kuichake
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonyeshwa siku ya Jumapili. Muda unategemea nchi uliopo.Hivi game of thrones, inaoneshwa sigu gani na sangapi kwenye hbo
Sam bado hajajua. Bran anajua kitambo.Nimeshaiona episode 6.ikiyo leak.kutakuwa na mapigano one of the Dragon atakufa. John snow ataokolewa. Little finger atawagombanisha Kati ya arya na dada ake. Mwisho kabisa Dragon amefariki anafuufuliwa na white walker. Kwa ninavyosikia hizi ni rumours season ya mwisho little finger will be sentence to death hukumu anaitoa sister wa arya.dragon anaangusha ukuta.sam na Brian wanajua siri ya John snow kuwa ni tergerian
Atajua tu anaona kwenye Vitabu. Ila sijui maana huko bado sijaangaliaSam bado hajajua. Bran anajua kitambo.
Sh ngap mkuuunataka gb ngapi mkuu
ipo gb500 na gb320
zipo seriez zote ulizozitaja full pamoja na movie mbalimbali
season finale nackia imelik hivyo wamesitisha kuitoaSeason 7 finale
Title: The Dragon and The Wolf.
Duration: 76 Mins
Sent using Jamii Forums mobile app
Naitafutia vikopo niitizame uzuri baadae jioni.....hakuna kitu kama icho lazima itoke na itakuwa episode ndefu kuliko zote
daenerys na john snow ni.mtu na shangazi yake na sio dada na kaka? umeipata wapi hii?
daenerys na john snow ni.mtu na shangazi yake na sio dada na kaka? umeipata wapi hii?