Special education in children

Special education in children

Sogo

Member
Joined
Jan 6, 2019
Posts
10
Reaction score
9
Nilihitimu mafunzo ya kufundisha watoto wenye mahitaji maalumu, mwenye kujua wapi naweza pata aniunganishe. Mimi ni binti nipo Arusha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi shule husimamiwa na serikali kama Uhuru Mchanganyiko Dar, Irente Lushoto ni ya kanisa
 
Ila sio lazima iwe watoto wenye mahitaji maalumu hata shule yingine yeyote ya watoto itafaa


-sogo@-
 
Ni early childhood education ndio De Facto List


-sogo@-
Ushauri wa bure kwako..

-Tafuta chumba cha kukodi, nunua ubao, tengeneza bembea mbili..kisha pita kwa wazazi na vipeperushi vya huduma unayotoa.

'Muhimu, tambua kila mzazi anapenda kuhakikishiwa usalama wa mwanae..hivyo huduma yako lazima ilenge kukidhi hitaji lao hilo.

-Ukishindwa kabisa..tafuta mtu mwenye mtaji mpe wazo la kuanzisha Daycare..wewe unatoa huduma kwa maana ya expertise yako yeye anatia mpunga. Jifunze ushawishi watu wana pesa ishu ni namna gani anatoa pesa kukupa wewe..'The art of influence'

Ukikwama yote hayo..zunguka kwenye chekechea utabahatika..goodluck.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ushauri bro


-sogo@-
 
Back
Top Bottom