IzukeneJr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 758
- 753
- Thread starter
- #21
Kuna wakati nishakuwa mwalimu wa hayo masomo katika level ya o_level. Najua mwalimu wa masomo ya Hisabati, Physics na Chemistry anatakiwa awe vipi ili kumfanya mwanafunzi wake aelewe. Nilikwenda pale Udom mwezi uliopita kwa shughuli za kikazi nikabahatika kukutana na hawa vijana na nikabahatika kuangalia mtaala wanaotumia. Kwanza ukweli ni kwamba pale mostly ni wale wenye div 3 ambao hawakubahatika kupata fursa ya kwenda kidato cha 5.
Ninachokiamini hawa vijana ili kuwa competent kulikuwa na haja ya kupitia elimu ya advance kwa masomo husika, Nadhani nisingekuwa na haya maoni iwapo wengekuwa wanachukuliwa vijana waliohitimu kidato cha 6 kwa PCM wakakosa nafasi ya kuendelea na chuo.
Naamini kwa wale wanaosoma degree pale UDOM wanaweza kuelezea zaidi ni aina gani ya vijana tunawatengeneza pale.