ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
mamii togwa ilivyo chachu vile na ubaridi wake wainywaje asubuhi hii? au uko shambani?
ha ha haaaaa mie nipo tu nawaangalia mnavyohangaika na michepuko..:ranger:
niambie neno mrembo wangu! kuwa nawe ni ushindi tosha kabisa!
si unaona kabisa ninavyopata furaha ninapokuwa nawe..!
chum me please!
hahahaaa!! please please usimuite!!Aisee utamuua my wifi kwa presha
pole pole basi nawe mpenzi!heeeeeeeeei!!!
naona sasa umeshalogwa wewe
ni afadhali nimeona kwa :A S-eek: bila kuambiwa
haya endelea naye huyo huyo usinifuate
nisijetoa panga kavu hapa
niambie neno mrembo wangu! kuwa nawe ni ushindi tosha kabisa!
si unaona kabisa ninavyopata furaha ninapokuwa nawe..!
chum me please!
Ndugu mwandishi umeniita?
hahahaaa!! please please usimuite!!
ila nae hajatulia khantwe, unamfaham mambo yake sana tu!
Am sorry...
Ngoja ninyamaze mimi....napita
Umefurahi eeee! :A S 11::A S 11::A S 11:
Chukulia easy mamii!
other things should be left... behind... the .. scene..
mmmm-mwaa! thanks too!
sasa nikwambie kitu...!?
Hadithi njoo utamu koleaaaaaaaaaaaaa!
inaonekana umevaa nguo light sana leo!
ni kweli.... bado niko kwenye pajama