swali murua hili!!
u can learn bana...
Hahahaa binadamu hawana jema. Ukimuacha huru utasikia ooh anashindwa kumpetipeti kaka yetu ona anazurura ka chokoraa.....ukimtaiti unaambiwa limbwata lol na mutuwache tulale....
Cc mume wangu Ntuzu
Ntuzu naona maneno yanakutoka kama nini? Khantwe nikusemelee? naomba kusemaNiambie dada Yangu!
Yani siku hizi ata kz sitaki kabisa kufanya!
Khantwe kanimaliza kabisa Yani ata kufikiria michepuko sitaki kabisa! Maana michepuko haina hadihi km ya mpnz wangu!
Ulikua unanitafuta dada umekuja Na miss chagga ???
nashukuru kwamba taratibu anaendelea kujifunza kunipenda
Mke mwenza.....meseji ile ya tigo pesa umeipata?
nimeipata hata aiwezi nunua chupa ya zanz hapana naomba utume nyingine
Hahaha na wewe ni barmaid? Mana umekuja na gari ya kabichi juzi
naona sasa tunavunjiana heshima uliona wapi mbunge wa meru nikawa :hungry:
hebu tengua kauli yako haraka kabla makombora ya nyuklia hayakurukia
Niambie dada Yangu!
Yani siku hizi ata kz sitaki kabisa kufanya!
Khantwe kanimaliza kabisa Yani ata kufikiria michepuko sitaki kabisa! Maana michepuko haina hadihi km ya mpnz wangu!
Ulikua unanitafuta dada umekuja Na miss chagga ???
Umesema?hata kazi hutaki kufanya? Mtakula majani kwa mtindo huu
Hivi unadhani fitna zinaweza kuvunja ndoa yangu?
Yanakuhusu?