Special appreciation to Special operative-Prof Mruma!

Magufuli ni moja ya watuhumiwa wa mambo ya ovyo yanayotokea ndani ya nchi lakini kuna wapuuzi wao kazi yao kumsifia tu.
Leo anataka kumuua Lissu, unajua kesho atamuua nani ?

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Hii thread haihusiani na Magufuli au lissu rudi kwenye mada.
 
mleta thread, una upungufu wa maarifa mwilini
 
HAKIKA TUMPONGEZE NAHAWA NDIO WAZALENDO TINAOWAHITAJI.
 
unampongeza anayesaini mkataba bila kusoma uko vizuri ki -ujingalao
Kuna mkataba wowote aliosaini bila kuusoma?
Ha ha ha...Jibu lake kwa kamati lilikuwa ni la busara mzito na kama wangejiongeza wangeelewa kwa nini kawajibu hivyo...Na Great thinkers wa kizazi hiki mkaingia mkenge kuanza kutukana.
 
Aisee JINGALAO unafanana na ulichokiandika... HUYU SI RIPOTI IMESEMA ALISAINI MAKABRASHA BILA KUSOMA..??
 
Aisee JINGALAO unafanana na ulichokiandika... HUYU SI RIPOTI IMESEMA ALISAINI MAKABRASHA BILA KUSOMA..??
Hayo ni majibu ninayoweza kumpa mtu mvivu asiyejiongeza!
 
Kuna kitu hakipo vzr. Nadhani hz tume za uchunguzi zimekuwa nyng mpaka zikaanza kukanyagana. Maana hata kama ni Prof ni undercover agent...hv wanatangazwa hadharani kama alivyofanya Rais leo. Something fishy...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So Lissu must go no ways out....let him go any how!for the sake of safeguarding Mruma!!
 
Naendelea kumsikiliza kupitia TBC
 
Hivi, siku hizi special operatives wanakuwa exposed hadharani? Hakuna njia bora zaidi ya kumtambua bila kumtangaza?
 

Aliwekwa na Rais wakati huo akiwa Waziri wa Ujenzi na alikuwa na sauti kiasi kwamba akamuweka awe shushu huko.

Ujinga mwingine wadanganyeni hao wa Lumumba jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…