Speaking of TRANSPARENCY

Speaking of TRANSPARENCY

No. No. No. Usiwe muwazi jumla jumla. Hasa wewe wa kiumeni. Itakusaidia saana baadae.

Mambo mengine angalia kwenye comment ya Faiza Foxy.
Does transparency mean you tell your spouse EVERYTHING?

Wadau ni sahihi kuwa na uwazi kwa kila kitu katika mahusiano?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu Ni: NDIYO!

Maana ya upendo ni uaminifu ( imani), kama umuamini hakuna upendo wa kweli. Na ndiyo maana kwa kukosa imani au kwa kutomuamini mwenzi wako, mahusiano mengi yamekufa. Kama kweli unampenda utamuamini na huta msaliti au kuchepuka.
Kama kweli unampenda utamuamini mwenzi wako utakuwa muwazi kwake, naye kama anakupenda kweli atakuwa muwazi kwako na maisha yatakuwa ni yenye furaha na amani.
Kama kweli unampenda utamwambia kila jambo, Maana mawasiliano yenu yatakuwa hayana walakini maana utamweleza kila jambo maana utamfanya kuwa kama zaidi ya mke au mume na kuwa rafiki wa karibu na kukupa uhuru wa kumweleza kila jambo liwe dogo au kubwa au la siri.
Mawasiliano ndiyo njia namba 1 inayojenga imani na kudumisha mahusiano mahali kwa wenzi wawili.
Narudia tena, jibu ni NDIYO!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wengi hatupendi ukweli ukiwa mkweli na muwazi katika kila jambo mnaweza mcfike mbali....

am better here
 
Umeandika kweli kutokusema kweli kumeharibu mahusiano mengi bila ukweli no real love. Na upendo hujengwa kwa kuaminiana na kuwasiliana kuliko kufichana hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli ume generalize wengine twapenda kupata ukweli ili tuamue moja mie mtu ka alinidaganya mfano tukaaingia had ndoani nikija kujua bora ndoa ife sasa mtu anayekudaganya hakufai na anaweza kuja kuleta maafa mkubwa. Watu weusi tunapenda uongo kitu ambacho hakidumu
Wanawake wengi hatupendi ukweli ukiwa mkweli na muwazi katika kila jambo mnaweza mcfike mbali....

am better here

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zurri unasemaje kwenye hili swala?

Si sahihi mwanamke kumwambia kila kitu.

Hapa kuna kisa kifupi nataka nikwambia,kuna mwalimu wangu mmoja alifatwa na mtu mzima fulani mwenye familia,yaani mke na watoto. Yule mzee akamwambia mwalimu.

Mzee : Mwalimu,nimekuja nina matatizo na mke wangu hasa katika suala la matumizi ya fedha.

Mwalimu,kabla ya kusema mengi au kuendelea na mazungumza,akamuuliza yule mzee hivi.

Mwalimu : Mke wako anajua kipato chako ?

Mzee : Ndio anajua.

Mwalimu: Hapo ndipo ulipokosea,mwanamke hatakiwi kujua kipato chako,bali mwanamke anatakiwa kutimiziwa mahitaji yake anayo yataka.

Sisi huwa tuneasema hivi,huwezi kumuonyesha adui silaha zako zote.
 
The truth set us free. Mie muumini wa uwazi ukinificha nikija kujua mahusiano yafe tu hamna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uwazi mwingine unaleta maafa. Unachotakiwa ni kuweka kila kitu mahala pake,na kufanya hivi kunataka utulivu wa hali ya juu na tafakari zilizo tukuka.
 
Wewe kabla ya mahusiano sema ukweli ili ujue a to z sasa unaficha ili iweje eeeh Mimi hata nikijua baada ya ten years nafanya maamuzi magumu.hafu kwenye mahusiano mtu anaficha mtoto ili iweje au wenye mahusiano loh

Unajua kuna uongo wa aina mbili ?
 
Ndo upi huo uongo na unaficha ili iweje kah

Sent using Jamii Forums mobile app

Uongo wa maslahi na uongo usiofaa.

Kuna uongo wa kudumisha mahusiano hasa ndoa,uongo katika uwanja wa vita unapo muhadaa adui ili umpige,uongo wa kusuluhisha watu uongo huu tunauita uongo wa maslahi yaani wenye manufaa na kuhimizwa.
 
Kwangu uongo ni uongo tu haujalishi ndoa iliyojengwa kwenye uovu haidumu. Ujue uongo hudhihirika siku isiyo na jina and there is no excuse about uongo. Uongo huleta maafa makubwa ctaki ndoa inayojengwa kwa uongo au jambo lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu uongo ni uongo tu haujalishi ndoa iliyojengwa kwenye uovu haidumu. Ujue uongo hudhihirika siku isiyo na jina and there is no excuse about uongo. Uongo huleta maafa makubwa ctaki ndoa inayojengwa kwa uongo au jambo lolote

Sent using Jamii Forums mobile app

Huo uongo unao kuja kudhihirika hiyo siku ujue ni uongo ambao mbaya yaani uongo ambao hukutakiwa uwe.

Na hivi hiyo siku isiyo na jina ni siku gani ? Hakuna siku isiyo kuwa na jina.
 
Hafu ujue kuna saa machale yanakucheza unajua uongo ila vile hudharau hisia zetu na intuition. Basi madhara yake huwa makubwa mno wengine machale hutucheza hatari sana hata ufanyeje aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom