BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,329
- Thread starter
- #21
Ndiyo hivyo Mkuu Mr Rocky na MACCM AKA #Maintarahamwe yamedhamiria kubaki madarakani milele kwa kutumia kitengo chao cha vyombo vya dola, miaka mingine 52 Taifa letu litastahili kuitwa Taifa la Wapumbavu maana elimu yenyewe ndiyo hiyo inazidi kuporomoka kila mwaka.
Na hiyo ni maeneo mengi sana ya Tanzania mkuu sio machache
Vijijini hali inatisha ila hao viongozi wetu wanapambana kuunda tume za kilaji kila siku huku matokeo ya tume hizo wakiwa hawayapendi wala hawayafanyii kazi zaidi ya kuwatukana walioteuliwa na wao wenyewe
Ni hatari sana mkuu BAK
Last edited by a moderator: