vivian njoo dukani kwangu....nitakusaidia kupata spares na kukuunganisha na mafundi wazuri usije kubabaishwa,najua mafundi wengi sana wanazingua madada kama nyinyiNdugu hebu niambieni nina Hii gari inagongagonga chini kwa mbele naweza pata wapi spares na good and affordable fundis.