Spare za rav 4 2007 zinapatikana wapi hapa tanzania

  • Thread starter mzee wa manzese
  • Start date

M

mzee wa manzese

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Messages
672
Likes
82
Points
45
M

mzee wa manzese

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2012
672 82 45
Ninayo toyota rav 4 ya mwaka 2007,nilikuwa safari narudi nakuta vibaka wamesafisha gari, wameiba Front Bamper,Taa za mbele,side mirror zote,power window,control,radio na Ac control

je nitapata wapi vifaa hivi hapa tz
 

Attachments:

lucky sabasaba

lucky sabasaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
1,668
Likes
151
Points
145
lucky sabasaba

lucky sabasaba

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
1,668 151 145
Pole sana mzee wa manzese,zinapatikana weke chasis number ya gari yako tukupe bei,tukielewana tunafanya biashara
 
B

ben van mike

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2010
Messages
468
Likes
32
Points
33
B

ben van mike

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2010
468 32 33
daaaah pole sana mkuu vibaka wanaturudisha nyuma sana ......toa chasis number lucky sabasaba akupe mzigo
 

Forum statistics

Threads 1,273,057
Members 490,259
Posts 30,469,138