Yani ukiangalia uhuni wa Spain wanavyocheza siku hizi utadhani wanashiriki mambo ya kufix game, sio ile team ambayo ilikuwa inaua goal kibao, mfano game ya leo kama wanataka ifix isitoe magoli.
Over 0.5 first half imekataa sio? kamari hatari. Ukila hela ndefu wanakuchunguza,wakikuta una zaidi ya account moja hela hupewi. Ukiliwa hata kama una account 100 wanakaa kimyaaa.