Mpaka sasa hakutokezea wa kuishinda Spain kirahisi.
Sifa ya kikosi cha Spain kwa sasa ni kuwa wana kikosi imara. Mmeona mara hii kuna wachezaji wazuri walikaa benchi hadi siku ya mwisho. Kila aliyetolewa kwa kupumzishwa, aliyeingia alikuwa moto wa kuota mbali. Angalia perfomance za Cesc, Tores, Navas, Pedro, Mata ambao wote hawa walikuwa benchi kwenye mechi fulani, lakini walipoingia wakatingisha nyavu.
Tusubiri kule Brazil 2014 tuone kama ile yao ya EURO2008+WORLD2010+EURO2012 lilikuwa zali tu.