Mentor hapa umenipa mtihani
nitadesea kwa wenzangu naona mida hii bado wapo njiani kwenye foleni.
Kuna spagheti flani zimeandikwa 'instant noodles' zinapatikana supermarket. Hebu zicheki na ni portion ya mtu mmoja tu. Uzuri wake zinakuwa na flavour kapakti kadogoo. Ukichemsha tu unachuja maji unatia flavour kitu mwake.
Mwanamazoezi mwenzangu nawe umeingizwa mkenge na huyu chalii angu Mentor? Hahahahaha unadhani hapa anazungumzia spaghetti kama spaghetti?Kama uko peke yako ile pakti unaweza ukaipika mara nne, so ukiinunua gawanya into 4 equal parts then pika but hiyo pia inategemea na appetite yako ya kula, zaweza kuwa nyingi kama si mlaji utagawa mara 6 au 5 otherwise kwa mwanume mweye kula na kuskia tumbo limetanuka basi 4 equal parts in a pakti ni kipimo kizuri.
Try that.
Mentor Kiasi cha kupima kwa mlo mmoja inategemea sana na ulaji wako maana tunatofautiana wingi wa kula. Ila tip moja ninayoweza kukupa ni kuwa Kuchemsha maji kwanza ni sahihi ila unaweka maji ya kutosha ili hata zikiiva maji yasiwe yamekauka. Then ukimimina Tambi unachemsha kwa Dk 10 tu! Unaziepua unazichuja na unaweza kuendelea na mapishi mengine. Usisahau kuweka chumvi kabla kama unatumia chumvi. Mapishi mengine ni zikishaiva ndo unaednelea nayo. Ni chakula rahisi na cha haraka sana.
Mimi hupendelea kuchemsha na Mayai ya kienyeji ambayo kwa wastani nikishayaosha nayaweka kwenye maji hayohayo yaliyochemka kwa dk 3-5 (inategemea unapenda liive kiasi gani, dk zisizozidi 5 ni la afya) ikimaanisha utalitoa kabla ya tambi.
Ukiwa umeshakatakata vitunguu, carrots, hoho n.k. (nyanya si lazima) unavikaanga kwa moto wa wastani vikiiva unaweka tambi zilizokwisha chemshwa ndani unakoroga then unaweka mayai yaliyochemshwa. Weka maji kidogo sana ambayo ni rahisi kukaukia unapokoroga lengo ni kuzuia visishike chini. unakoroga kwa dk chache huna haja ya kufunika kwani muda mfupi wa kama dk 5-10 hivi vitakuwa tayari kuliwa. Kumla ya mapishi ya chakula hiki hauzidi dk 25! Pia huwa napenda kuweka juu nikishapakua supergate badala ya tomato source source ambayo hupatikana madukani.
Nikipata muda nitazungumzia Tambi za nyama ya Kusaga.
Mwanamazoezi mwenzangu nawe umeingizwa mkenge na huyu chalii angu Mentor? Hahahahaha unadhani hapa anazungumzia spaghetti kama spaghetti?
Huyu kijana usipomsoma vizuri na kuunganisha dots unaweza ingia mkenge kirahisi kama ulivyoingia wewe.
BTW leo ni ijumaa, zoezi linaanzia wapi na saa ngapi? Mwenzio nimekuja na traksuti na raba mtoni tayari kwa kazi.
Hapo ndipo Mentor aliponishangaza..... kwamba anadhani hata wewe unajua kupika? Khaaa!!Mentor kanambia nije nipike
Kweli kaniingiza kingi hebu nistue maana kama hakuwa anamaanisha spageti kweli anayake mambo anazidi kuongeza uhasana na mimi, maana ile ya kuniida daladala naona haikumtosha. Yaani hapa ni ama zake ama zangu............
Leo friday bana mazoezi kama kawa kituo ni pale BP petrol station ambayo iko near na AMREF pia karibu na zamani nyumba ya sanaa. Hope umepanyaka muda sa kumi na moja na rpbo ukichelewa umeachwa, zingatia muda.
Umekuja na truck suit kweli umejiandaa heheheheeee see u there heheheheeee