Space colonization ina market capitalization zaidi ya ONE QUADRILLION USD

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,124
Reaction score
6,141
Hapa duniani hakuna industry ambayo imefikia market capitalization ya usd one quadrillion ni space colonization peke yake ndo ina-hiyo market capitalization na iko untapped kwa zaidi ya asilimia 90

Kuna watu wanasema wewe mtia nia wa urais wa Tanzania mbona hufocus na mambo kama huduma za maji, umeme, miundombinu, afya ambazo ndo changamoto kubwa inayowasumbua wafrika jibu ni kwamba sisi kama nchi ni lazima tutafute namna ya kutafuta fedha

Kwa ambao tuna-elimu ya anga na kujua potential yake itakuwa ni ajabu sana endapo tunashida ya fedha kama nchi na tukaacha kutumia hiyo potential ya market capitalization ya usd one quadrillion ambayo ipo kwenye space colonization

Hizo one quadrillion kwenye space colonisation zipo wapi hilo ndo swali la kujiuliza au utaniuliza zipo kwenye mambo yafuatayo
  1. Space shuttle hapa namaanisha rockets
  2. Space mining hapa namaanisha uvunaji wa madini kwenye sayari mbalimbali
  3. Space tourism hapa namaanisha watu kutembelea sayari tofauti tofauti
  4. Multiplanetary business
Kwa sasa hivi sisi kama nchi tunañafasi gani
  1. Kuwa sehemu ya kutengeneza mazingira ya space colonisation kwanini nasema hivyo kuna mambo mengi sana tumeshindwa kunufaika nayo kama nchi mfano;- manufacturing, natural resources, ambazo tunazo, pharmaceutical sasa hivi Artificial intelligence kama nchi tumeshindwa kunufaika navyo basi kwenye space colonization tusiwe nyuma kama ilivyozoeleka
NIKIWA RAIS WA TANZANIA SISI KAMA NCHI LAZIMA TUTAKUWA SEHEMU YA MARKET CAPITALIZATION YA ONE QUADRILLION USD YA SPACE COLONIZATION

Hii potential kama nchi ya Tanzania hatutakiwi kuikosa

Kwahiyo kama sio chepesi hivyo, kwanini unataka ukiweke kwenye vyanzo vikuu vya mapato
Mwafrika hata kutafutà fedha anaogopa ni kawaida kuwa na fursa mahali husika na kuziogopa akija mgeni na kuanza kuzichangamkia tunaanza lalamika

Mkuu hakuna jambo rahis ukiona ni rahis jua halina maslai kila mtu anafanya
 
Hapa duniani hakuna industry ambayo imefikia market capitalization ya usd one quadrillion ni space colonization peke yake ndo ina-hiyo market capitalization na iko untapped kwa zaidi ya asilimia 90

Kuna watu wanasema wewe mtia nia wa urais wa Tanzania mbona hufocus na mambo kama huduma za maji, umeme, miundombinu, afya ambazo ndo changamoto kubwa inayowasumbua wafrika jibu ni kwamba sisi kama nchi ni lazima tutafute namna ya kutafuta fedha

Kwa ambao tuna-elimu ya anga na kujua potential yake itakuwa ni ajabu sana endapo tunashida ya fedha kama nchi na tukaacha kutumia hiyo potential ya market capitalization ya usd one quadrillion ambayo ipo kwenye space colonization

Hizo one quadrillion kwenye space colonisation zipo wapi hilo ndo swali la kujiuliza au utaniuliza zipo kwenye mambo yafuatayo
  1. Space shuttle hapa namaanisha rockets
  2. Space mining hapa namaanisha uvunaji wa madini kwenye sayari mbalimbali
  3. Space tourism hapa namaanisha watu kutembelea sayari tofauti tofauti
  4. Multiplanetary business
Kwa sasa hivi sisi kama nchi tunañafasi gani
  1. Kuwa sehemu ya kutengeneza mazingira ya space colonisation kwanini nasema hivyo kuna mambo mengi sana tumeshindwa kunufaika nayo kama nchi mfano;- manufacturing, natural resources, ambazo tunazo, pharmaceutical sasa hivi Artificial intelligence kama nchi tumeshindwa kunufaika navyo basi kwenye space colonization tusiwe nyuma kama ilivyozoeleka

Hii potential kama nchi ya Tanzania hatutakiwi kuikosa

Umeona potential walizozichungulia wenzetu.

Of course wanabeti ila mkeka ukitiki unaweza kuta gafra wanabadilisha historia, science na teknolojia ya dunia, wanaweza kutana na deposites za almass labda dhahabu au hata undiscovered mineral materials zitakazoleta mapinduzi ya namna tunavyoendesha dunia.

Na mtafiti(USA) anapata courage ya kuwekeza kiasi hicho, kwani anajua akifanikiwa atakua untouchable hapa duniani.

ndicho kilichotokea hata enzi za ukoloni Britain walikua na makoloni mengi na yaliwanufaisha sana... Hii nikutokana na Uwekezaji wao wa kutafuta territory mpya na wakafanikiwa pakubwa sana kama kugundua America Australia nak

Mwanzo walikua wanang'an'ana na Middle East na far East.
 
Mfano kwenye mwezi wa Jupiter europa kama sijakosea kule kuna mito ya gesi asilia
Yaani hii space minavyoiona na na watu wwngine wanavyouona ni utajiri mtupu

Mfano tukiweza tengeneza rocket yenye speed zaidi ya mwanga na inaweza beba tani 100,000 basi itakua ni game changer
 
Hapa duniani hakuna industry ambayo imefikia market capitalization ya usd one quadrillion ni space colonization peke yake ndo ina-hiyo market capitalization na iko untapped kwa zaidi ya asilimia 90

Kuna watu wanasema wewe mtia nia wa urais wa Tanzania mbona hufocus na mambo kama huduma za maji, umeme, miundombinu, afya ambazo ndo changamoto kubwa inayowasumbua wafrika jibu ni kwamba sisi kama nchi ni lazima tutafute namna ya kutafuta fedha

Kwa ambao tuna-elimu ya anga na kujua potential yake itakuwa ni ajabu sana endapo tunashida ya fedha kama nchi na tukaacha kutumia hiyo potential ya market capitalization ya usd one quadrillion ambayo ipo kwenye space colonization

Hizo one quadrillion kwenye space colonisation zipo wapi hilo ndo swali la kujiuliza au utaniuliza zipo kwenye mambo yafuatayo
  1. Space shuttle hapa namaanisha rockets
  2. Space mining hapa namaanisha uvunaji wa madini kwenye sayari mbalimbali
  3. Space tourism hapa namaanisha watu kutembelea sayari tofauti tofauti
  4. Multiplanetary business
Kwa sasa hivi sisi kama nchi tunañafasi gani
  1. Kuwa sehemu ya kutengeneza mazingira ya space colonisation kwanini nasema hivyo kuna mambo mengi sana tumeshindwa kunufaika nayo kama nchi mfano;- manufacturing, natural resources, ambazo tunazo, pharmaceutical sasa hivi Artificial intelligence kama nchi tumeshindwa kunufaika navyo basi kwenye space colonization tusiwe nyuma kama ilivyozoeleka
NIKIWA RAIS WA TANZANIA SISI KAMA NCHI LAZIMA TUTAKUWA SEHEMU YA MARKET CAPITALIZATION YA ONE QUADRILLION USD YA SPACE COLONIZATION

Hii potential kama nchi ya Tanzania hatutakiwi kuikosa

Ila doctor shika akivuta bangi msumbufu na mauzi yake ya uraisi wa mateja
 
Kwa sasa hivi sisi kama nchi tunañafasi gani
  • Kuwa sehemu ya kutengeneza mazingira ya space colonisation kwanini nasema hivyo kuna mambo mengi sana tumeshindwa kunufaika nayo kama nchi mfano;- manufacturing, natural resources, ambazo tunazo, pharmaceutical sasa hivi Artificial intelligence kama nchi tumeshindwa kunufaika navyo basi kwenye space colonization tusiwe nyuma kama ilivyozoeleka
 
Doctor shika toka urusi katika mambo ya uraisi wa mateja
 
Back
Top Bottom