SA pamevamiwa na wengi,hadi wazawa wenyewe wameanza kuhama kwao wanakimbilia visiwa vya Mauritius,Comoros,Seychelles,Reunion na Mayote.huko mambo ndo yanasoma siku hizi,they are among the fastest growing economies in Africa,na kutokana na vyenyewe kuwa vidogo,the change is drastic.