shibekijijini
JF-Expert Member
- May 26, 2015
- 358
- 478
We ndio nani? Na kwa nini kama ni kubaya bado upo huko?Ni Siku nyingi Sana sijakuja hapa kuleta mrejesho,
Ndugu zangu South Africa, Sio kabisa msoto ni mkuu,
Sina muda wa kusema Mengi Ila point yangu kuu km huna mtu Huku, km huna mtaji Pls watanzania wenzangu msije
Nimemaliza sim hii nimeazima japo tu niwasalim na kuwapa tahadhari,
Vijana wengi hasa wa Tanzania wanateseka Jamani
Sijui nisemeje, asie Sikia la mkuu basi azamie tu. View attachment 569601View attachment 569602
Wapo walio sema nimekufa Ila Mimi najichanga nirudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dada mmoja anaitwa Sky E alikuonya sanaNi Siku nyingi Sana sijakuja hapa kuleta mrejesho,
Ndugu zangu South Africa, Sio kabisa msoto ni mkuu,
Sina muda wa kusema Mengi Ila point yangu kuu km huna mtu Huku, km huna mtaji Pls watanzania wenzangu msije
Nimemaliza sim hii nimeazima japo tu niwasalim na kuwapa tahadhari,
Vijana wengi hasa wa Tanzania wanateseka Jamani
Sijui nisemeje, asie Sikia la mkuu basi azamie tu. View attachment 569601View attachment 569602
Wapo walio sema nimekufa Ila Mimi najichanga nirudi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaana hujaelewa Ujumbe wake? Amesema najichanga arudi, sasa wewe unataka ajichange akiwa wapi?We ndio nani? Na kwa nini kama ni kubaya bado upo huko?
Mr Kisu sikunyingi sijakuona online,Kuteseka ni hatua ya kwanza ya kufikia mafanikio, pambana utatoboa tu.
Uko Tz nako kila mtu analalama maisha magumu.