D 007
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 206
- 147
Kwa mujibu wa ripoti zilizochunguzwa na kuwasilishwa na Serikali ya Zuma Bungeni Shirika la Ndege, South African Airways liko mbioni kufilisika.
Shirika hilo limekuwa likijiendesha kwa hasara kwa miaka 7 mfululizo na karibia litashindwa kuwalipa mishahara wafanyakazi wake.
Shirika limeomba msaada wa £560m ili kujikwamua kutoka katika hali hiyo mbaya ya kifedha inayowakabili Zuma, Kimsingi serikali yetu tujifunge mkanda kurejesha shirika letu la ATC, kwa nidhamu ya hali ya juu kuipigania National Carrier.
Biashara ngumu sana hii especially kama hauna systems in place, technological advancement is key in making sure an airline's bottom line grows. GOOD MORNING ..007
Sent using Jamii Forums mobile app