Halafu sasa rais wa JMT ni wa kwao, hehehe yaani tu basi....nyie mumepewa makamu ambaye kazi yake kubwa ni kutembea na mkasi mfukoni wa kukata utepe, nimejikuta nacheka sana hapa kuna nyuzi huwa nazisoma wanavyowabeza nyie.
Tangu Tanganyika ilipoungana na Zanzibar mwaka 1964 tumekuwa tunatawaliwa na Watanganyika na kupangiwa nani awe Rais wa Zanzibar kwa kupitia vikao vya CCM Dodoma, hata huyo Mzee Mwinyi hakuwa mzanzibar mwenzetu ila ni mlowezi toka kisawawe pwani huko Tanganyika. Kwa kudra za Mwenyezi Mungu...
www.jamiiforums.com