hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,152
- 3,966
Asee
High fidelity unajua maana yake ? Ukijua maana yake uwezi ongea nonsense hivyohi-fi ni subwoofer iliyongangamka,hata muonekano wake auvutii kuwa ndani,mara mia ukikosa soundbar basi angalau uishe na home theatre.