Hivi vitu unauza ama unakodisha?..
Kisha nitapenda kuelewa idadi ya kila kitu mfano speaker unazo Low ngapi na high ngapi pia Amps zenye uwezo wa ku drive low peke yake na high peke yake...
Mengine tuwasiliane..
Mkandara, hivi nauza. Ningekuwa na mtu reliable & trustworthy TZ, ningefanya kukodisha, maana ukikodisha ni biashara nzuri, unarudisha pesa muda mfupi sana.
Sub woofer ninazo mbili;
1) Z-Sub speakers 2*159.95 = £417.05
Full-range speakers ninazo mbili;
2) KSF 15 PA speaker 2*159.95 = £417.05
Mixer (CD)
3) KAM KAP 550 MKII = £477.95
equalizer 1
4) Equalizer KAM KQ 152 = £79.95
Sijui kama nimekuelewa swali la Amp vizuri, lakini angalia specs uone kama utapata jibu.
Power Amp moja;
5) Power Amplifier C-Mark MR2350 = £197.02
Power handling ya hii Amp ni 525W per channel (ina channel 2, total 1050W).
Hizo Full-range wakati mwingine nilikuwa napiga zenyewe tu, zinachuja vizuri kabisa. Does the job very well. Nikiongeza na hizo subs (in Parralel), zinafunika swafi kabisa. Appr 300 to 500 people bila wasi.
Sasa nikipanga moja moja (Full-range speakers), Continuous operating at 350W, basi zinafaa kwani kila channel ni 525W kwenye amp (mbele ya Amp kuna uwezekano wa wewe kubadilisha Amps na Voltage settings). Pia nikiweka in parralel (Full range na Sub, 350W na 300W, nadhani resistance jumla inashuka per channel or something like that). Nili-discuss na wauzaji specific kwa mahitaji haya kabla sijanunua. Ila angalia specs hapa uone kama itafaa kwa kitu unachofikiria.
Data za Amp;
The C-MARK MR2350 G098B Spec.
* 4 ohm Stereo Power: = 525WRMS per channel
* 8 ohm Stereo Power: = 350WRMS per channel
* Inputs: 2 x 6.3mm Jacks, 2 x XLR
* Outputs: 2 x Speakon
* Distortion: <0.1%
* Protectio: Short Circuit, thermal and fan overload
* Signal to Noise Ratio: >104dB
* Input Frequency: 10 k Ohm Balanced
* Frequency Response: 20Hz - 20KHz
* Weight: 24kg
* Dimensions: 89×483×400mm
6) Microphone Wireless = £48
7) DJ Smoke Machine = £24.95