Top 4 na base 2 pamoja na rec yake naiuza iko complete...sijautumia Sana na vifaa vyote vino ktk hali nzuri Sana..
Bei t
Yake ni million 7,fursa kwa wale wanaotaka na kujua biashara ya ukodishaji wa vifaa vya mziki ktk shuguli mbali mbali...karibuni
Napatikana dar...0715591141 tuwasiliane kwa yule mhitaji uje ukague vifaa
Naona we we utakuwa unaelewa masuala gaya
Saw a nitakuja kuweka!ila sound ni kubwa maana unaweza itumia ktk maharusi au kwenye shuguli kama promotion....sound ni kubwa na ninaposema iko complete iko full