Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,622 Jul 2, 2014 #61 Asprin said: .........Ni vigumu kujua funguo kama hujui aina ya kufuli.......:llama::llama::llama: Click to expand... Soulmate mambo...?
Asprin said: .........Ni vigumu kujua funguo kama hujui aina ya kufuli.......:llama::llama::llama: Click to expand... Soulmate mambo...?
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,272 Reaction score 96,398 Jul 2, 2014 #62 ICHANA said: Sure itakuwa ngumu kama hujui kitu ni vugumu kupata solution Tambua kila kifuli ina funguo zake na haziingiliani.. Kazi kwako. Click to expand... :hand::hand::hand:....Shimo La Panya Halizibwi Kwa Mkate.....:israel::israel::israel:
ICHANA said: Sure itakuwa ngumu kama hujui kitu ni vugumu kupata solution Tambua kila kifuli ina funguo zake na haziingiliani.. Kazi kwako. Click to expand... :hand::hand::hand:....Shimo La Panya Halizibwi Kwa Mkate.....:israel::israel::israel:
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,272 Reaction score 96,398 Jul 2, 2014 #63 Khantwe said: Soulmate mambo...? Click to expand... Thats my soulmate........ Missed you darling. Hivi kwanini umeniblock kule mtaa wa pili??
Khantwe said: Soulmate mambo...? Click to expand... Thats my soulmate........ Missed you darling. Hivi kwanini umeniblock kule mtaa wa pili??
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,622 Jul 2, 2014 #64 Asprin said: Thats my soulmate........ Missed you darling. Hivi kwanini umeniblock kule mtaa wa pili?? Click to expand... Nataka unimiss kama hivi
Asprin said: Thats my soulmate........ Missed you darling. Hivi kwanini umeniblock kule mtaa wa pili?? Click to expand... Nataka unimiss kama hivi
Candid Scope JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 11,897 Reaction score 6,933 Jul 3, 2014 #65 ICHANA said: My baby Vaislay soulmate ndo hii maana yake U can share ur feeling no matter ni mzee or not Click to expand... Una mambo wewe, mimi nimeleta maana tu maana kuna waliouliza, sasa hayo ya your babe duh! Milango imebana nashindwa kupita nisaidie!
ICHANA said: My baby Vaislay soulmate ndo hii maana yake U can share ur feeling no matter ni mzee or not Click to expand... Una mambo wewe, mimi nimeleta maana tu maana kuna waliouliza, sasa hayo ya your babe duh! Milango imebana nashindwa kupita nisaidie!
ICHANA JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 4,765 Reaction score 3,596 Jul 3, 2014 #66 Candid Scope said: Una mambo wewe, mimi nimeleta maana tu maana kuna waliouliza, sasa hayo ya your babe duh! Milango imebana nashindwa kupita nisaidie! Click to expand... ha ha ha worry out nami nilimpa maana next tyme ntakuita na wewe jina zuuuri.....ntakusaidia kufungua milango.
Candid Scope said: Una mambo wewe, mimi nimeleta maana tu maana kuna waliouliza, sasa hayo ya your babe duh! Milango imebana nashindwa kupita nisaidie! Click to expand... ha ha ha worry out nami nilimpa maana next tyme ntakuita na wewe jina zuuuri.....ntakusaidia kufungua milango.
Suprise JF-Expert Member Joined Nov 2, 2012 Posts 2,696 Reaction score 1,063 Jul 3, 2014 #67 me nahisi nnaye ila sijajua maana kama ndiyo naamini hivyo, ila mtamu sana asiklwambie mtu, ukimkosa unaumwa
me nahisi nnaye ila sijajua maana kama ndiyo naamini hivyo, ila mtamu sana asiklwambie mtu, ukimkosa unaumwa