Sote tumeshiriki kuua vyama vya upinzani

naunga hoja shida ni wananchi wenyewe nafikiri robo 3 ya nchi hii ni useless inebaki robo tuu yenye kureason
 
Umechanganua tatizo vizuri sana. Kwa vikwazo hivyo, upinzani unahitaji nishani angalau kwa kuwepo. Wangekuwa watu lelemama wangekuwa wamekwishapotea kabisa.

Watanzania ni wanafiki na wabinafsi. Kila mtu anafikiria kula yake na familia yake hata kama ina maana ya kumtumikia shetani. Ndio maana wote uliowataja - viongozi wa dini, wanasiasa, wasomi, raia wa kawaida nk - wako radhi kumtumikia shetani ili wapate chakula yao. Maslahi ya nchi yanawekwa mwisho kabisa.

Kwa upande mwingine, kama ulikuwepo kwenye uchaguzi wa Okt 2020, umeona kuwa CCM haiwezi kushinda kwa boksi la kura. Inashinda kwa NECCM, Msajili, Polisi, Jeshi, TISS, kuza za kwenye mabegi... Swali ni nini kifanyike katika mazingira haya?

Watu wa kawaida wameichoka CCM lakini wafanyeje sasa wakati NEC ni ya CCM? Matokeo hayawezi kupingwa mahakamani, hata akitangazwa Rungwe ama kimada wa Kaijage. Katiba hairusu.
 
Inasikitisha sana mkuu.Vyuo vikuu vinazidi kuongezeka wajinga nao wanazidi kushamiri.
 
Mbona ACT wapo imara nasikia Mh. Bernard K. Membe anaendelea kupanga safu ya Mawaziri maana 2025 amesema hapatoshi, CCM ijiandae kufungasha virago na kukabidhi ikulu.
Nina wasiwasi na afya ya Membe. Yule sio membe ninaemfahamu.
 
Umenena ukwelu mtupu, tena kwa wasomi wetu na wachambuzi wetu ni hovyo kabisa. Nikusifia tuu kwa kwenda mbele kutafuta appointments na kiongozi mkuu. Bureeee kabisa wasomi wetu waliowengi.
 
Nafikir pia aina ya mgombea aliesimamishwa hakuwa anajua utamaduni na mahitaji halisi ya wananchi wa kawaida.Watanzania sio watu wafujo na wanahofia machafuko sana,kitendo cha TL kuhubir maandamano n kitawaka mara kitanuka was bad strategy
Pia agenda ya uhuru na maendeleo ya watu haikuwa na mashiko kwa walio wengi maana shighuli zao zinakwenda sasa ukiwaambia wasimchague aliewajengea barabara wakuchague wewe ulete uhuru wasnt making any sense to majority
Aina ya wanachama wake wengi wao si wapiga kura na wengi hawakwenda kupiga kura hoji vijana wa kat ya19-27 wafuasi wa chadema kati ya 10 6 hawakupiga kura
Mafungamano ya TL na mataifa ya nje was soo bad maana saiv nchi ipo kwenye mchakato wa kunufaika na mali zake ambazo zilikuwa zikinufaisha wazungu sasa kitendo cha kuwakumbatia was bad strategy
Agenda ya ushoga pia,kitendo cha TL kushindwa kuonesha nia ya dhat ya kuupinga hadharan was bad
Kupima performance ya chadema kupitia uchaguz wa2015 was bad maana iliwafanya warelax kwa kuona chama kime kuwa wasijue kuwa 2015 mpambano ulikuwa kati ya cna ccm b.matokeo yanaonesha kuwa wananchi wanaimani na ccm kuliko upinzani ndio maana Lowassa (ccm)alipata kura nyingi kuliko Lissu licha ya umaaruf wake wote
NB:chadema inatakiwa kutoka kwenye siasa za kiuharakati na kuwa chama chenye lengo la kushika dola na si chama cha wahuni kama ilivyo sasa.
Kufuatia kitendo cha TL kukimbia nchi watz wengi wameamini agenda ya yeye kutumwa na mabeberu hivyo kwa namna yoyote ile hafai kugombea tena2025. Wananchi wanaweza kuwa wameichoka ccm ila hawaoni mbadala ndo maana wanaendelea kuichagua

Hapa tusipepese macho mgombea alikuwa yuko vizuri kabisa na aligusa mahitaji ya wananchi moja kwa moja algusia kilimo ajira viwanda elimu afya maji miundombinu hivyo ni baadhi tu. Na yeyote mwenye akili anafahamu kabisa namna ambavyo mgombea wa chama tawala alikuwa anatumia dola kukusanya watu kwenye mikutano yake wananchi kwa hiyari yao walikuwa hawamtaki.

Kwahiyo kilichoua upinzani ni CCM kwa kutumia Rais aliyeko madarakani ambaye tangu kwa kawaida huwa hapendi kupingwa na mtu yeyote tangu akiwa anagombea ubunge. Rais amehusika moja kwa moja kuthibiti bunge, kuthibiti mahakama, kuthibiti vyombo vya habari kuthibiti viongozi wa dini na hivyo wapinzani kuonekana ni maadui kwakuwa Rais hawapende vyombo vyote alivyovidhibiti vimekiwa haviwapendi waziwazi.

Tume ya uchaguzi ndo usiseme, polisi ndo usiseme watumishi wa umma kwa ujumla wao, wafanya biashara sasa hivi ukiangalia wafanya biashara wote utaona status zao waendelea na mapambio tu bila hivo wanajuwa watakiona.

Katika mazingira hayo ni kwamba tumeshaanguka big time, kama Rais Magufuli yuko madarakani hakuna upinzani utakuwepo hapa nchini na inawezekana wakaamuwa kubadilisha kabisa katiba ili I rudi kuwa na mfumo ule ule wa chama kimoja kwasababu sasa hivi hata bunge haliweze kufanya kazi yake vizuri sababu kwenye kanuni na mionhozo yake kuna pande mbili wabunge wa chama tawala na wapinzani Sasa kama wapinzani wako kiduchu hiyo nafasi itatumikaje ya kupeleka hadi mapendekezo ya bajeti ya upinzani.

Way forward ni hadi Magufuli atakapo maliza muda wake vinginevyo hakuna chochote kinachoweza kufanyika kunusuru vyama vya Siasa kufanya shuguli zake kama ilivokuwa kabla ya Magufuli.
 
Vyama mlichofanikiwa kuua Ni NCCR na CUF
CHADEMA iko ngangari na hamtakiweza
 
Upinzani ungekuwa hoi mngetumia AK47 na mabomu kupata kura ?
Sio AK47 tu. Hata vifaru vilionekana vikivinjari mitaani. Now I ask myself. Kifaru Ni silaha ya adui aliyeko nje ya mipaka. Iweje leo........
 
Hapa tusipepese macho mgombea alikuwa yuko vizuri kabisa na aligusa mahitaji ya wananchi moja kwa moja algusia kilimo ajira viwanda elimu afya maji miundombinu hivyo ni baadhi tu. Na yeyote mwenye akili anafahamu kabisa namna ambavyo mgombea wa chama tawala alikuwa anatumia dola kukusanya watu kwenye mikutano yake wananchi kwa hiyari yao walikuwa hawamtaki.

Kwahiyo kilichoua upinzani ni CCM kwa kutumia Rais aliyeko madarakani ambaye tangu kwa kawaida huwa hapendi kupingwa na mtu yeyote tangu akiwa anagombea ubunge. Rais amehusika moja kwa moja kuthibiti bunge, kuthibiti mahakama, kuthibiti vyombo vya habari kuthibiti viongozi wa dini na hivyo wapinzani kuonekana ni maadui kwakuwa Rais hawapende vyombo vyote alivyovidhibiti vimekiwa haviwapendi waziwazi.

Tume ya uchaguzi ndo usiseme, polisi ndo usiseme watumishi wa umma kwa ujumla wao, wafanya biashara sasa hivi ukiangalia wafanya biashara wote utaona status zao waendelea na mapambio tu bila hivo wanajuwa watakiona.

Katika mazingira hayo ni kwamba tumeshaanguka big time, kama Rais Magufuli yuko madarakani hakuna upinzani utakuwepo hapa nchini na inawezekana wakaamuwa kubadilisha kabisa katiba ili I rudi kuwa na mfumo ule ule wa chama kimoja kwasababu sasa hivi hata bunge haliweze kufanya kazi yake vizuri sababu kwenye kanuni na mionhozo yake kuna pande mbili wabunge wa chama tawala na wapinzani Sasa kama wapinzani wako kiduchu hiyo nafasi itatumikaje ya kupeleka hadi mapendekezo ya bajeti ya upinzani.

Way forward ni hadi Magufuli atakapo maliza muda wake vinginevyo hakuna chochote kinachoweza kufanyika kunusuru vyama vya Siasa kufanya shuguli zake kama ilivokuwa kabla ya Magufuli.
Unazani kuna CCM anaependa upinzani? Viongozi wengine waliopita walikuwa na uoga fulani ila rohoni walitamani upinzani upotee. Magufuli kawasaidi, na kuwapa jeuri, hivyo wataendeleza pale atakapoingia.
 
Back
Top Bottom