sosoliso ulie tu..........

Mentor pliz kam zis wei en tok tu yua shem!
 
Last edited by a moderator:
Mwenyekiti Baba V breakdown waifahamu wewe..? Yaani sie tunashambuliwa hapa na wewe unawaunga mkono..!

umenuna,mke ndo kasepa hivo,habari ndo hiyo,kuwadi bishanga
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaa Shem Paloma kaza uzi tukamalizie ile nyumba ya Bibi pale Korogwe na kile kiwanja tufanye mpango tumjengee mtoto wa Baba yake baba yako pale Lushoto.....usiendeleee kukalia uchumi

Elli mdhungu nouma anamhamishia Paloma Australia, hivi sosoliso Ana nauli ya kufika huko?
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niangalie ball mie.. Paloma hebu njoo na wine kwenye glass tuangalie Barca hapa.. Bishanga baadae kidogo..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…