mmmh hiyo pic y atatu sosoliso alivomshika chick wake, soo pasionate, i like that style, touching.... uuuuhh wacha niishie hapo watoto wasisikie ya kikubwa
Ha ha ha Mamndenyi Mie nitamuuliza my wife wangu kipi ambacho amekikosa kwangu.. Inawezekana jamaa kanizidi kwenye idara moja.. Aniambie ili nijirekebishe nimpatie hicho ili asiende tena huko..