Endelea kutafuta mkuu,utafanikiwa. Mi sijampata hata wa kuniwezesha kutafuta hilo eneo,nakuonea wivuu!
nilijua tu lazima nikutane na thread kama hii
Naingia lodge ya tano naambiwa haya maneno.
Nyie watu mnafanyaje huko ndani?
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
Njoo uchukue changu mimi silali ila nimelipia mpaka asubuhi
Hapana viroba vilipenya ikabidi nichukue room nipumzike kidogo saivi ndo nimepata ahueni narejea ngamaniulikuwa short time eeeeeh kwa hiyo ndio unarudi njia kuu kwa mkeo
ulikuwa short time eeeeeh kwa hiyo ndio unarudi njia kuu kwa mkeo
:flypig:
Utakuwa mtabiri mzuri sana
nahisi hivyo bado tu sijakutabiria wewe
Mimi ni invisible..!