DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,674
Hoja ya Mzee Mwanakijiji kwa mtizamo wangu inalenga kuangalia matumizi sahihi ya lugha ya Urais kwa UMMA.Anachojaribu kuibua hapa ni dhamana ya uzito wa kauri ya Kiongozi Mkuu wa Nchi iwe na Uzito na si bora kauri kama vile afisa wa shirika au Mkuu wa Idara.anataka kuona Kauri ya Rais isiwe ni bora kauri imetoka bali inayozingatia sheria na thamani yake katika kutekelezwa kwa kauri hiyo.
Presidential Speech au statement ifanyike ikiwa na uzito sawa na hadhi ya Urais katika Katiba na Taifa kwa ujumla wake.Na hata waandishi wanapokwenda kuiandika basi ibebe maana ile ile kama Presidential Speech au statement with ALL POWERS AND AUTHORITIES katika utekelezaji wake KIKATIBA NA KISHERIA.
Isitamkwe kauri ya Rais lakini ukija kwenye utekelezaji inakosa maana au inapingana na sheria mama katiba,basi sifa yote ya uthamani wa Presidential Voice [Kama Rais na sio Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete] inapoteza maana.
Anamaanisha kauri ya matumizi ya lugha ya Rais iendane na hadhi ya Rais,na uzito ule ule wa kiti chake.Mfano Udharura huo wa tamko la Rais umebeba uzito ule wa kisheria na kikatiba au ni kauri kama mtendaji wa kawaida.Ndio maana anataka kujua tamko hilo la Rais linabeba maan ile ya dhamana ya Rais au ni tamko ambalo limetamkwa na Mtu mwenye dhamana hiyo akiwa mtamkaji wakati haimaanishi katika uzito wa Kiti Cha Mtamkaji.
Ndio maana matamko ya Rais kama hili la udharura anazungumzia hata kuwa na ultimatum kwa uzito wa Taarifa hiyo na vyombo vya habari kulibeba katika uzito wa Tamko la Rasmi la Rais [Presidential Statement].