Sorry Mr. President.. Tanzania is NOT IN a "State of Emergency..."

Hoja ya Mzee Mwanakijiji kwa mtizamo wangu inalenga kuangalia matumizi sahihi ya lugha ya Urais kwa UMMA.Anachojaribu kuibua hapa ni dhamana ya uzito wa kauri ya Kiongozi Mkuu wa Nchi iwe na Uzito na si bora kauri kama vile afisa wa shirika au Mkuu wa Idara.anataka kuona Kauri ya Rais isiwe ni bora kauri imetoka bali inayozingatia sheria na thamani yake katika kutekelezwa kwa kauri hiyo.

Presidential Speech au statement ifanyike ikiwa na uzito sawa na hadhi ya Urais katika Katiba na Taifa kwa ujumla wake.Na hata waandishi wanapokwenda kuiandika basi ibebe maana ile ile kama Presidential Speech au statement with ALL POWERS AND AUTHORITIES katika utekelezaji wake KIKATIBA NA KISHERIA.

Isitamkwe kauri ya Rais lakini ukija kwenye utekelezaji inakosa maana au inapingana na sheria mama katiba,basi sifa yote ya uthamani wa Presidential Voice [Kama Rais na sio Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete] inapoteza maana.

Anamaanisha kauri ya matumizi ya lugha ya Rais iendane na hadhi ya Rais,na uzito ule ule wa kiti chake.Mfano Udharura huo wa tamko la Rais umebeba uzito ule wa kisheria na kikatiba au ni kauri kama mtendaji wa kawaida.Ndio maana anataka kujua tamko hilo la Rais linabeba maan ile ya dhamana ya Rais au ni tamko ambalo limetamkwa na Mtu mwenye dhamana hiyo akiwa mtamkaji wakati haimaanishi katika uzito wa Kiti Cha Mtamkaji.

Ndio maana matamko ya Rais kama hili la udharura anazungumzia hata kuwa na ultimatum kwa uzito wa Taarifa hiyo na vyombo vya habari kulibeba katika uzito wa Tamko la Rasmi la Rais [Presidential Statement].
 
Ngeleja abaki hukohuko Brazil aliko na WM Pinda. Umeme umetengemaa sana kuanzia katikati ya wiki iliyopita. Alichoongea jana Rais wetu na baadhi ya watendaji wakuu akiwemo Gavana wa BOT, MD wa TANESCO, AG na wengine ni kigugumizi wanachopata kwenye kufanya maamuzi juu ya suala hili. Alisema kasi haitoshi. Dharura alooiongelea sio hii ya KIKATIBA Mwanakijiji.

Rais anaendesha nchi kwa kutumia katiba, hivyo chochote atakachofanya lazima kiwe ndani ya katiba. Otherwise atakuwa amekiuka katiba ya nchi.
 
Hoja ya Mzee Mwanakijiji kwa mtizamo wangu inalenga kuangalia matumizi sahihi ya lugha ya Urais kwa UMMA.Anachojaribu kuibua hapa ni dhamana ya uzito wa kauri ya Kiongozi Mkuu wa Nchi iwe na Uzito na si bora kauri kama vile afisa wa shirika au Mkuu wa Idara.anataka kuona Kauri ya Rais isiwe ni bora kauri imetoka bali inayozingatia sheria na thamani yake katika kutekelezwa kwa kauri hiyo.

Presidential Speech au statement ifanyike ikiwa na uzito sawa na hadhi ya Urais katika Katiba na Taifa kwa ujumla wake.Na hata waandishi wanapokwenda kuiandika basi ibebe maana ile ile kama Presidential Speech au statement with ALL POWERS AND AUTHORITIES katika utekelezaji wake KIKATIBA NA KISHERIA.

Isitamkwe kauri ya Rais lakini ukija kwenye utekelezaji inakosa maana au inapingana na sheria mama katiba,basi sifa yote ya uthamani wa Presidential Voice [Kama Rais na sio Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete] inapoteza maana.

Anamaanisha kauri ya matumizi ya lugha ya Rais iendane na hadhi ya Rais,na uzito ule ule wa kiti chake.Mfano Udharura huo wa tamko la Rais umebeba uzito ule wa kisheria na kikatiba au ni kauri kama mtendaji wa kawaida.Ndio maana anataka kujua tamko hilo la Rais linabeba maan ile ya dhamana ya Rais au ni tamko ambalo limetamkwa na Mtu mwenye dhamana hiyo akiwa mtamkaji wakati haimaanishi katika uzito wa Kiti Cha Mtamkaji.

Ndio maana matamko ya Rais kama hili la udharura anazungumzia hata kuwa na ultimatum kwa uzito wa Taarifa hiyo na vyombo vya habari kulibeba katika uzito wa Tamko la Rasmi la Rais [Presidential Statement].

Ingawa inaonyesha kiswahili sio lugha yako ya kwanza, umejitahidi kuelezea vema hii mada.

Kama Rais haridhishwi na kasi ya kushughulikia swala la umeme, ni sawa na kocha wa mpira wa miguu akiona mchezaji mmoja au wawili kati ya 11 waliomo, anachofanya siyo kulalamika. Hatua anayochukua ni kumtoa/kuwatoa wachezaji wasio perform na kuingiza wenginne toka kwenye benchi.

Raisi anao wachezaji wa ziada walioko benchi, tena siyo ajabu ni wazuri kuliko hao waliomo ndani sasa hivi. Sipendi kuamini kuwa raisi hawezi kufanya mabadiriko (substitute) kwenye wizara hii ya nishati, nadhani ni swala la muda tu. Mabadiriko ni lazima.

Ikumbukwe kwamba huwezi kujua ubaya au uzuri wamtendaji/mchezaji hadi ufanye mabadiriko ya kutoa huyu na kuingiza yule. Mr president fanya hilo. Ni wazi kwamba mzee wa "megawati" ameshafikia ukomo wa kulishughulikia hili swala la umeme.
 
huyu jk wa ajabu mno! Yeye si ndie aliewatetea kina ngeleja na jairo? Akasema kuwa ni tatizo la ukame hivyo asilaumiwe ngeleja? Yeye sasa ana mamlaka gani ya kulaumu. SHAME!
 
Hoja ya Mzee Mwanakijiji kwa mtizamo wangu inalenga kuangalia matumizi sahihi ya lugha ya Urais kwa UMMA.Anachojaribu kuibua hapa ni dhamana ya uzito wa kauri ya Kiongozi Mkuu wa Nchi iwe na Uzito na si bora kauri kama vile afisa wa shirika au Mkuu wa Idara.anataka kuona Kauri ya Rais isiwe ni bora kauri imetoka bali inayozingatia sheria na thamani yake katika kutekelezwa kwa kauri hiyo.

Presidential Speech au statement ifanyike ikiwa na uzito sawa na hadhi ya Urais katika Katiba na Taifa kwa ujumla wake.Na hata waandishi wanapokwenda kuiandika basi ibebe maana ile ile kama Presidential Speech au statement with ALL POWERS AND AUTHORITIES katika utekelezaji wake KIKATIBA NA KISHERIA.

Isitamkwe kauri ya Rais lakini ukija kwenye utekelezaji inakosa maana au inapingana na sheria mama katiba,basi sifa yote ya uthamani wa Presidential Voice [Kama Rais na sio Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete] inapoteza maana.

Anamaanisha kauri ya matumizi ya lugha ya Rais iendane na hadhi ya Rais,na uzito ule ule wa kiti chake.Mfano Udharura huo wa tamko la Rais umebeba uzito ule wa kisheria na kikatiba au ni kauri kama mtendaji wa kawaida.Ndio maana anataka kujua tamko hilo la Rais linabeba maan ile ya dhamana ya Rais au ni tamko ambalo limetamkwa na Mtu mwenye dhamana hiyo akiwa mtamkaji wakati haimaanishi katika uzito wa Kiti Cha Mtamkaji.

Ndio maana matamko ya Rais kama hili la udharura anazungumzia hata kuwa na ultimatum kwa uzito wa Taarifa hiyo na vyombo vya habari kulibeba katika uzito wa Tamko la Rasmi la Rais [Presidential Statement].

DSN, huo ni upande mmoja tu wa hoja yangu; upande wake wa pili ni kuwa yawezekana kabisa yeye mwenyewe Rais anaamini kuwa nchi iko kwenye dharura na alikuwa anatarajia watu waonekane kuchukulia tatizo la nishati kama ni la dharura na hivyo wawe na ile "sense of urgency of now". HIvyo anashangaa kwanini watu hawaonekani kuona kweli ni dharura. Sasa hapa kwangu ndio tatizo kama alikuwa anamaanisha nchi iko kwenye hali ya dharura imani yake imetokana na nini wakati hajawahi kulitangazia taifa kuwa nchi iko kwenye dharura na kila mtu anatakiwa kufanya nini.

Mmesahau tangazo la vita ya Uganda na hata ile suala la miezi 18 ya kujifunga mkanda? Kikwete labda anaamini kila mtu "anaona" kuna dharura na hivyo haoni ulazima wa kutoa tangazo rasmi. Inakuwaje kama watu wengine hawaoni hiyo dharura?
 
Jamani, NCHI HII IPO IPO TU. HATA mbwiga YEYOTE ANAWEZA KUKAA PALE MAGOGONI AKAYAFANYA KAMA TUYAONAYO LEO.
Nijuavyo mimi,U-rais ni ishara ya mamlaka katika nchi. Sasa anaposema "" Hatuwezi kuendeleza kuwa na kigugumizi katika kuchukua uamuzi wa kuitoa nchi katika changamoto kubwa hizi za upatikanaji wa nishati," :, maana yake ni kwamba tuna Bwana Rais mwenye kigugumizi kwenye mambo sensitive yanayohitaji mamlaka. In a single phrase, tukubali maumivu,
 
Technically the country is in state of ermegency, under the current constitution the President can declare state of ermegency whenever he sees necessary to do so, he might consult parliament but he does not need approval from that body; power crisis is threatening the growth of our GDP, the economy is sluggish because manufacturing sector is near collapse due power outage; I think Mr. President is trying address the situation. Also state of ermegency is wide term depending the nature of the problem; president may chose to work with his surbodinates instead of announcing through the media. So lets hope he is seriously this time.
Chama

Huyu mzee anazeeka vibaya jamani ,Anashindwa hata kuwaagiza anabaki akitumia hisia zake kwenye kuelezea mambo.
yeye ndio anayetucheleweshea stigler Gorge sasa analaumu nini inamaana yeye hajui kinachoendelea sisi je?
 
Muda mwingi sana anashinda FB na Twiter sasa huo muda wa kufikiria kabla ya kuongea ataupata wapi? Jana kwene Twiter kila saa amepost kila time kuna post yake sasa huyu Kijana sorry huyu Mzee ataweza kweli mambo haya?

Mpwa kwani kwenye twitter na fb hutakiwi kufikiri kabla ya kupost !
 
DSN, huo ni upande mmoja tu wa hoja yangu; upande wake wa pili ni kuwa yawezekana kabisa yeye mwenyewe Rais anaamini kuwa nchi iko kwenye dharura na alikuwa anatarajia watu waonekane kuchukulia tatizo la nishati kama ni la dharura na hivyo wawe na ile "sense of urgency of now". HIvyo anashangaa kwanini watu hawaonekani kuona kweli ni dharura. Sasa hapa kwangu ndio tatizo kama alikuwa anamaanisha nchi iko kwenye hali ya dharura imani yake imetokana na nini wakati hajawahi kulitangazia taifa kuwa nchi iko kwenye dharura na kila mtu anatakiwa kufanya nini.

Mmesahau tangazo la vita ya Uganda na hata ile suala la miezi 18 ya kujifunga mkanda? Kikwete labda anaamini kila mtu "anaona" kuna dharura na hivyo haoni ulazima wa kutoa tangazo rasmi. Inakuwaje kama watu wengine hawaoni hiyo dharura?

Mzee Mwanakijiji we have a too long way to go hakika ilo nalo neno Mkuu,manake watu walivyokaa tuli ka maji ya Mtungini, hivyo ni jukumu la nani kuwajuza umuhimu, ni jamii kama jamii isimamie kujua kuna udharura huo au ni yeye Rais awaaminishe kuwa kuna udharura huo?
 
TZ leaders should at least know that we are tired of their nonsensical talk shows!
"Ooh, megawati so and so zitaingizwa kwenye grid ya taifa"
"ooh mabwawa yamekauka"
"ooh wachina watazalisha umeme wa gesi"
"ooh, mabomba ya gesi yanavuja"
"ooh, umeme wa upepo singida utapunguza makali ya mgao"
They should stop the talk shows and start working. Agh!
 
sammosses:
We fed up with all dialogues of Mr.JK,Always his action went against his verbally,as a chairperson of CCM claimed his Government he ruled.for instance during the summit of CCM claimed about oil inflation,but he the one leads the minister's summit to propose the non beneficiaries for the voters(oil inflation),we emancipate ourselves to eliminate and forward them to the court of law as the main suspects of our national resources.

Yes we can,revolution is in our hands,forward ever backward never,yes we changes is in motion,yes we can the elimination of these culprit is approaching.
 
Watu wa takwimu tusaidieni kuchora graph ya hadhi ya ofisi ya rais Tanzania 1961 -2015.

Nyerere alituaminisha 1961 - 1985 : Ikulu ni mahali patakatifu hakuna biashara pale, urais ni mzigo, rais lazima awe anajua kwa nini sisi ni masikini, ikulu ikisema tufunge mikanda na wao wanafunga uVasco Dagama, enzi za kuimba kwa hisia Tanzania nakupenda kwa moyo wote, enzi hizo twiga hajui international airport, uswahiba si kigezo cha kupewa uongozi, kulikuwa na Usalama wa Taifa, jeshi halitishi wananchi, festi ledi hajui mipasho na wala haitwi shemeji na kina Kanjubhai.
Ndivyo tulivyo amini, ndivyo ilivyo kuwa na ndivyo tulivyo ona.

Sasa kama hayo hayapo kwenye ikulu yetu ya leo kwa nini mnaumiza vichwa kujadili rais kasema nini??????????
 
Mpwa kwani kwenye twitter na fb hutakiwi kufikiri kabla ya kupost !

Hahahaaaa teh teh teh Mpwa kweli umenikumbusha hilo, kule hakukitaji kufikiri saana kabla ya kusema! hapa anaongea na watu wenye uelewa tofauti hivyo lazima ajiandae zaidi! asante kwa changamoto hio pia!
 
Comments are so many!!!!so good!!!!!!1 so where are ur suggestions?

Mr.President is tired and needs to rest. think not to disturb him. That was his vision and he seems not to be in the Government, when he spoke ' Naishauri Serikali' How about the roles of Activists and Advocates?.
To me let him Privatise all of energy sources to Private investors as a reliable source of Power to Tanzanians.
 
labda aliongea kwa lugha ya mafumbo, yaweza kuwa kwamba hiyo hali ya dharura ipo lakini si kwa swala alilolizungumzia , ila alitaka watu wawe macho na matukio yanayoendelea nchini kwa sasa.
 
A state of emergency is a governmental declaration that may suspend some normal functions of the executive, legislative and judicial powers, alert citizens to change their normal behaviours, or order government agencies to implement emergency preparedness plans. It can also be used as a rationale for suspending rights and freedoms, even if guaranteed under the constitution. Such declarations usually come during a time of natural or man made disaster, during periods of civil unrest, or following a declaration of war or situation of international or internal armed conflict. Justitium is its equivalent in Roman law.

In some countries, the state of emergency and its effects on human rights and freedoms and governmental procedure are regulated by the constitution and/or a law that limits the powers that may be invoked. Rights and freedoms may be suspended during an emergency, for instance, freedom of movement, but not non-derogable rights. In many countries it is illegal to modify the emergency law or the constitution during the emergency.

Great.My President is very right
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom