big result now
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 107
- 70
Jiulize fainali wamefikaje? Kutwaa kombe sio finali tu ni kuanzia hatua za kufuzu mpaka final.BTW mbona Ronaldo alicheza.au hukumuona....Ronaldo angekuwa amecheza ingeleta maana zaidi,hilo kombe limemfuata mikononi tu!,ni pure bahati!
Jiulize fainali wamefikaje? Kutwaa kombe sio finali tu ni kuanzia hatua za kufuzu mpaka final.BTW mbona Ronaldo alicheza.au hukumuona
Hakuna mambo ya Inge........ Ureno wamebeba ndoo.Kama unafikiri ilikuwa Rahisi kwanini hao walioshika nafasi za kwanza hawajabeba ndoo?.....gud; kufika fainali unatakiwa ushinde ryt?!, wamemaliza nafasi ya tatu kwenye kundi na point tatu,ingekuwa wanatumia ule mfumo wa mwanzo Ronaldo wenu angetoka kwenye makundi na ureno yake!,km sio bahati ni nini eroo?!, halafu unataka kusema dkk 8 alizocheza aliisaidia timu?!
Hivi mngesema nini km jana angefunga moja au mawili?
Hakuna mambo ya Inge........ Ureno wamebeba ndoo.Kama unafikiri ilikuwa Rahisi kwanini hao walioshika nafasi za kwanza hawajabeba ndoo?
Hongera zao Ureno Hard work pays
Kwakuwa ni utaratibu tu wa timu ya tatu kusonga mbele....sioni tatizo ukizingatia kwamba kuna timu zingine kwenye nafasi hiyo hiyo ya tatu zilitolewa kwenye mtoano.
Mpira ni dakika 90 au 120.
Umeongea kishabiki.....gud; kufika fainali unatakiwa ushinde ryt?!, wamemaliza nafasi ya tatu kwenye kundi na point tatu,ingekuwa wanatumia ule mfumo wa mwanzo Ronaldo wenu angetoka kwenye makundi na Ureno yake!,km sio bahati ni nini eroo?!, halafu unataka kusema dkk 8 alizocheza aliisaidia timu?!
Hivi mngesema nini km jana angefunga moja au mawili?
Hata Messi kwenye Copa America huwa anapiga magoli yakutosha,anamwaga assist kibao,tatizo sio "king" wa bahati km wenu!, anakaa nje kombe linamfuata mapajani!
Mtakufa kwa kihoro Team Messi, Cr7 ndo kila kitu.....Ronaldo angekuwa amecheza ingeleta maana zaidi,hilo kombe limemfuata mikononi tu!,ni pure bahati!
Ile hamasa aliyokuwa anatoa kwa wachezaji hawataki kuiongelea mashabiki wa mkwepa kodi hawana hamuJiulize fainali wamefikaje? Kutwaa kombe sio finali tu ni kuanzia hatua za kufuzu mpaka final.BTW mbona Ronaldo alicheza.au hukumuona
Ndo mana unaambiwa na bahati inahusu mkuu pole.....gud; kufika fainali unatakiwa ushinde ryt?!, wamemaliza nafasi ya tatu kwenye kundi na point tatu,ingekuwa wanatumia ule mfumo wa mwanzo Ronaldo wenu angetoka kwenye makundi na Ureno yake!,km sio bahati ni nini eroo?!, halafu unataka kusema dkk 8 alizocheza aliisaidia timu?!
Hivi mngesema nini km jana angefunga moja au mawili?
Hata Messi kwenye Copa America huwa anapiga magoli yakutosha,anamwaga assist kibao,tatizo sio "king" wa bahati km wenu!, anakaa nje kombe linamfuata mapajani!
.....gud; kufika fainali unatakiwa ushinde ryt?!, wamemaliza nafasi ya tatu kwenye kundi na point tatu,ingekuwa wanatumia ule mfumo wa mwanzo Ronaldo wenu angetoka kwenye makundi na Ureno yake!,km sio bahati ni nini eroo?!, halafu unataka kusema dkk 8 alizocheza aliisaidia timu?!
Hivi mngesema nini km jana angefunga moja au mawili?
Hata Messi kwenye Copa America huwa anapiga magoli yakutosha,anamwaga assist kibao,tatizo sio "king" wa bahati km wenu!, anakaa nje kombe linamfuata mapajani!
Mkuu kwa maelezo yako yule punguani harudi tenaHakuna mtu ambaye ushindi wa Ureno umembeba kama Christian Ronaldo, hata kama alicheza dakika 25 haijarishi coz yeye ndo team captain, hata kama alitoka mapema mwisho wa siku atakumbukwa kama Captain aliyeisaidia Ureno kushinda EURO, ndo maana Pepe alipohojiwa Jana alisema Walipigana kwa ajiri ya Ronardo, coz Manyanyaso aliyokua anapata Ronaldo kushindwa kuchukua kombe lolote na timu ya taifa, hakuna mchezaji yoyote aliyekua anayapata, na ndo maana baada ya kuingia final, Pele juzi alimwambia Ronaldo"Umeshinda kila kitu, thibitisha ubora wako kuiongoza nchi yako kuwa Bingwa" ........Ronaldo aliipania mechi ya Jana, bahati mbaya akaumizwa na rafu ya makusudi, team ikaamua kupigana kwa ajiri ya Ronaldo! Now ni Mabingwa.....Period!!!