Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,206
- 1,465
Mabadiliko ni neno linalotumika Kanisani, misikitini, maofisini, mashuleni hata kwenye ndoa. HUNA hati miliki ya hili neno. Tafadhali usilete mambo ya UKAWA hapa. Changia au pita kimya kimya. Tupo kwenye serious business.MABADILIKO sio, unajua kauli mbiu ya mabadiliko iko wapi? UKAWAAAAAAAAAAAAA...ccm pombe ile ile, ila chupa tofauti.. Amka we mwanamke, weka list ya wabunge bora wa ccm na Upinzani hapa tuwachambue
Nimevutiwa Zaidi Ya Hilo ENEO Lililoandikwa MICHEPUKO SIYO DILI Na KIJESHI au KIJASUSI Panaitwa " The Potential Target Area ". Akhsante Sana CCM Kwa Kutuletea UUMBWAJI Huu Wa Mwenyezi Mungu AMBAO Nina Uhakika UKAWA Huwezi KUUKUTA Ng'o. Dada nifah Umeona WEZERE Hilo? Unalo Kama Hilo?
Nimevutiwa Zaidi Ya Hilo ENEO Lililoandikwa MICHEPUKO SIYO DILI Na KIJESHI au KIJASUSI Panaitwa " The Potential Target Area ". Akhsante Sana CCM Kwa Kutuletea UUMBWAJI Huu Wa Mwenyezi Mungu AMBAO Nina Uhakika UKAWA Huwezi KUUKUTA Ng'o. Dada nifah Umeona WEZERE Hilo? Unalo Kama Hilo?
Mbona unakuwa na jazba Dada? Ukweli UWT ni ya viongozi, wake na watoto wa vigogo WA CCM,haina msaada wowote kwa wanawake wa kawaida.Muda si mrefu Bawacha chini ya Halima Mdee itawatupa nje ya siasa za wanawake wa Tanzania.Mabadiliko ni neno linalotumika Kanisani, misikitini, maofisini, mashuleni hata kwenye ndoa. HUNA hati miliki ya hili neno. Tafadhali usilete mambo ya UKAWA hapa. Changia au pita kimya kimya. Tupo kwenye serious business.
Queen Esther
Acha kukoromea wanaoku challenge, bado unakamba mguu unaanza kuleta uenyeji wa Lumumba hapa!Mabadiliko ni neno linalotumika Kanisani, misikitini, maofisini, mashuleni hata kwenye ndoa. HUNA hati miliki ya hili neno. Tafadhali usilete mambo ya UKAWA hapa. Changia au pita kimya kimya. Tupo kwenye serious business.
Queen Esther
wanawake ni mtaji.
Queen Esther bandiko lako liko vizuri sana lakini kama tu litasomwa ndani ya ccm na jumuiya zake...huku hii bandiko laweza kuonekana ni rumbesa la mzigo mzigo usio na tija....nasema hivyo kwakuwa ccm imechokwa, jumuiya zake zimechokwa na wanachama wamechokana, kutuhumiana na kutoaminiana kuko kwa kiwango kikubwa kupata kutokea katika historia ya ccmWajameni GT hamjambo!!!!
Wanawake ni jeshi kubwa. Ni kweli na Hilo halina ubishi. Ila jeshi la kutembea ki analogia wakati tupo kwenye digital hilo sio jeshi. Nayasema haya kwa sababu zifuatazo:
Baada ya kumaliza pilika pilika za uchaguzi wa Viti maaalum ndani ya CCM, wale tuliokuwa tukifatilia kwa karibu na kutazama jumuiya yetu kwa macho matatu tumegundua UWT is a "SLEEPING GIANT".
Hivyo basi kwa kuwa Octoba ni kesho; tunaelekeza nguvu zetu kuamsha hili li giant ili tupate kura nyingi 90% za wanawake wa TZ kwenye Urais, Wabunge na Madiwani. Kura nyingi zitatuongezea viti zaidi.
Umoja wetu ndio USHINDI wetu. Hili linahusu wanachama wote waliogombea wukakosa, waliopata, waliojeruhiwa kwa namna moja au nyingine, wanachama hai, wapya na wale wanaohitaji kuamshwa, n.k. Kwa kifupi malezi yetu ni Chama mbele mtu baadae.
Baada ya Mhe Magufuli kuapishwa tutaanza mchaka mchaka wa kuliamsha li sleeping giant ki digital zaidi. Nina maana gani ninaposoma haya:-
1. Tunahitaji kui restructure, reengineer, reengage, reinforce, reorganise etc UWT
2. UWT inatakiwa kufahamu iko kwenye mfumo wa vyama vingi na sio chama kimoja
3. Wasomi wengi zaidi wanatakiwa ndani ya chama; sina maana nime ignore wasio wasomi la hasha. We need VISIONARY LEADERS
4. Mambo ya kujuana, ili mtu apigiwe kura ni aibu kubwa. oh! Huyu wifi yangu, oh! Mtoto wa dada yangu, oh! kaolewa na mwanangu nk kuwa sera ya mgombea yanatia aibu na kumdhalilisha mwanamke.
5. Yapo mengi siwezi kuyaweka hapa ila
6. Baada ya Octoba 2015 tunataka MABADILIKO ili 2017 tujipange kupata viongozi na sio bora viongozi.
WANAWAKE TUJIPANGE POPOTE ULIPO NA KAMA HUNA KADI YA UWT SASA NI WAKATI SAHIHI NENDA KWENYE KATA YAKO HAKIKISHA UMEPATA KADI NA KUILIPIA. Usiache kumshika mkono jirani yako, rafiki nk kuhakikisha nae anapata kadi. Mengine yatafata baadae.
Naomba kutoa hoja, nakaribisha contrastive criticism, kuunga mkono hoja, kuongeza nyama nk.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Queen Esther
Wajameni GT hamjambo!!!!
Wanawake ni jeshi kubwa. Ni kweli na Hilo halina ubishi. Ila jeshi la kutembea ki analogia wakati tupo kwenye digital hilo sio jeshi. Nayasema haya kwa sababu zifuatazo:
Baada ya kumaliza pilika pilika za uchaguzi wa Viti maaalum ndani ya CCM, wale tuliokuwa tukifatilia kwa karibu na kutazama jumuiya yetu kwa macho matatu tumegundua UWT is a "SLEEPING GIANT".
......................................................................................................................[deleted]
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Queen Esther
Queen Esther bandiko lako liko vizuri sana lakini kama tu litasomwa ndani ya ccm na jumuiya zake...huku hii bandiko laweza kuonekana ni rumbesa la mzigo mzigo usio na tija....nasema hivyo kwakuwa ccm imechokwa, jumuiya zake zimechokwa na wanachama wamechokana, kutuhumiana na kutoaminiana kuko kwa kiwango kikubwa kupata kutokea katika historia ya ccm
Sasa hivi yeyote atakayesema chochote anaangaliwa kwa macho mengi yaani
- yeye ni nani
-ana nguvu gani
-ana ushawishi gani
-kapata bei gani
- ni kundi la nani
Hayo yote ndio yanayoifanya jumuiya kuwa sleeping giant na hii ni dalili mbaya kwa jumuiya yenu na chama chenu
Mabadiliko ni neno linalotumika Kanisani, misikitini, maofisini, mashuleni hata kwenye ndoa. HUNA hati miliki ya hili neno. Tafadhali usilete mambo ya UKAWA hapa. Changia au pita kimya kimya. Tupo kwenye serious business.
Queen Esther
Baada ya kufuatilia uchaguzi uliona nini? Nitakueleza Nilichokiona.
Ktk CCM kuna wachache wanaojifahamu. Walio wengi hawajifahamu na sehemu kubwa ya UWT hawajifahamu. Kwa wale wanaojifahamu wanawatumia hao wasiojifahamu. Wasiojifahamu wanaletewa taarab, nyimbo za kwaya na midundo mingine maana nyimbo ni lugha rahisi hata kwa asiyejua kitu.
Angalia mikutano ya CCM. Hakuna strategies ila kuna mihemuko. Inapigwa nyimbo wasiojifahamu wanakata viuno na kushangiliwa. huo ndo mchango wao. Mara nyingi wachache wanaojifahamu hutawaona wakinengua wao hucheka au kuwachochea wapuuzi wao. ".... wataisoma namba.... ehhhh!"
Sasa hilo jeshi unaloliona la UWT kazi kubwa ni kunengua. Jiulize, ktk akina mama unaweza ukamkuta bi Migilo akikata mauno mkutanoni? tafuta mwanamama mwingine aliye na ufahamu, jiulize kwa nini hakati mauno mkutanoni. Jiulize kwa nini walio wengi wanaishia kucheza mkutanoni. Mtu anajieleza akimaliza, swali? Hakunaaaa!
Huwezi kuwa na jeshi kubwa la aina hiyo, ukajivuna kwamba ni jeshi la kutumainiwa. Unapoteza muda wako.
Jf we dare to talk freely
Au unafikiri humu watu wanaakili Kama yenu ya ndiooo kila kitu?
Expect challenge hutaki Waite Lumumba aka home of lazy thinkers mshauriane.
MchunguZI
Hayo hata mimi nimeyaona kwa sana. Hapa issue ni way-forward. Je tunatokaje? Tena ukitoa sera unazomewaaa!!!!. Unaambiwa usipotezee watu muda we omba kura anza zako. Wengine walizichapa ukumbini!!!!
Mhe. Kinana ni MSIKIVU. Naamini atayapima haya na kuona nini kifanyike kunusuru UWT. Yaani badala ya kutimiza malengo ya kikatiba imefanywa mahali pa wajumbe kupata hela na wengine Ngazi ya kuendea Bungeni.
Jiulize kwanini UWT ni maarufu wakati wa uchaguzi. Baada ya hapo ni kila mtu na lwake. Kama kondoo wasio na mchungaji.
Tujipime
- UWT imetoka wapi?
- UWT iko wapi?
- UWT inaenda wapi?
Queen Esther
Ndo maana sisiemu itabaki nguvuni kwa muda kidogo zaidi ya matarajio yetu kwa sababu ya wapumbavu na wauza mackalio!
Mshana Jr.
You have said it all.
Hata hivyo ni wakati kitu kipya KUZALIWA ndani ya UWT. Tusikate tamaa. Hata Nyoka ili akue hujibandua ngozi aende next level of growth of course.
UWT needs kwenda NEXT LEVEL. Imekaa hapo for too long. Tunawashukuru walioifikisha hapo. Tunatambua na kuheshimu mchango wao. Tunataka kuyaona majukumu na malengo ya UWT yaliyo kwenye katiba yakitimia.
Katiba imejitosheleza shida ni haifuatwi wala kuzingatiwa. Unaingia kwenye mkutano wanawake wenye katiba hawafiki wanne!!! Wako buzy wa mpe nani kula baada ya kuliwa.
Lazima tujipange ili huko mbeleni tutoe mwanamke Rais.
Queen Esther